Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Umma March 2025
Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali za Umma March 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), Shirika la Uvuvi (TAFICO) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa
Continue reading