Kampuza za Mabasi na Nauli zake
Kampuni Bora za Mabasi Kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora
Safari kutoka Dar es Salaam kwenda Tabora ni moja ya safari ndefu na muhimu kwa wasafiri wengi nchini Tanzania, ikikadiriwa kuwa na umbali wa zaidi ya kilomita 800 kwa barabara. Kutokana na umuhimu wa mkoa wa Tabora kiuchumi na kijiografia, kuna kampuni nyingi za mabasi zinazotoa huduma za kila siku kati ya miji hii miwili. […]
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha
Kupitia njia ya mabasi, Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha ni moja ya njia maarufu, salama na yenye gharama nafuu kwa wasafiri wanaotaka kufika Arusha kwa barabara. Safari hizi hupitia maeneo kama Morogoro, Chalinze na Moshi kabla ya kufika Arusha Faida za Kuchagua Mabasi Bei Nafuu na Kufikia Abiria WengiNauli katika mabasi ya daraja […]
Nauli ya Basi Dar to Morogoro
Habari ya wakati mwingine tena karibu katika makala mpya itakayoenda kukuelekeza nauri za mabasi ya dar to Morogoro au Morogoro to Dar. Usafiri wa kutumia mabasi kutoka Dar kwenda Morogoro ndio usafri pendwa zaidi na watumiaji wa usafiri kati ya mikoa hii miwili licha ya uwepo waa treni ya umeme ya SRG ambayo pia inafanya […]
Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea
Mabasi ya Dar es Salaam kwenda Songea, Mabasi ya Dar Songea, Habari ya muda huu mwana Habaika24, karibu katika makala hii ambayo itaenda kuangazia kampuni za mabasi ambazo zinatoa huduma zake kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Songea. Kama wewe ni msafiri katika mikoa hii miwili na hujui ni kampuni gani za mabasi […]
Mabasi ya Dar es Salaam to Musoma
Mabasi ya Dar es Salaam kwenda Musoma, Mabasi ya Dar to Musoma, Habari ya wakati mwingine tena ewe mpenzi wa blog yako pendwa ya Habarika24, karibu tena kati maka hii fupi itakayoenda kuangazi juu ya kampuni za mabasi zinazofanya safari zake baina ya mkoa wa Dar es Salaam na Musoma. Kama wewe ni miongoni mwa […]










