Usaili
PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026
Jeshi la Magereza nchini Tanzania limechapisha rasmi PDF ya majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Tangazo hili limepokelewa kwa hamasa kubwa na maelfu ya vijana waliotuma maombi ya kazi, kwa kuwa ndilo daraja la kwanza kuelekea ajira ndani ya taasisi hii muhimu inayolinda usalama wa taifa. Kwa wale wote waliofanikiwa kufika […]
Matokeo ya Usaili wa Mahojiano TRA May 2025
Dar es Salaam, 27 Mei, 2025 Itakumbukwa kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilitangaza nafasi za kazi 1,596 mwanzoni mwa Februari 2025, ambapo ilipokea maombi 135,027, ambayo 113,023 yaliitwa kwenye usaili wa maandishi baada ya kufikia vigezo, na usaili huo ulifanyika tarehe 29 na 30 Machi, 2025. Waombi waliofaulu katika usaili wa maandishi waliitwa kwenye […]
Majina Walioitwa Kwe Usaili Utumishi 19 May 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Tume ya Ushindani (FCC), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Chuo cha Maji (WI), Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa […]
Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo MUST May 2025
Makamu Mkuu wa Chuo kwa niaba ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 22-05-2025 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye […]
MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs May 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 28-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa […]
Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Utumishi 11 May 2025
Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 11/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II (HEALTH) RADIOGRAPHIC TECHNICIAN II MPISHI DARAJA LA PILI II (COOK II) LAUNDERER II
Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI) May 2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Sukari cha Taifa (NSI), MDAs & LGAs anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 24-05-2025 hadi 30-05-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- Usaili […]
Majina ya Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi MbaliMbali Za Umma Majina ya Nyongeza December 2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Water Institute – WI anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 07-12-2024 […]
Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024
Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 03-12-2024 hadi 10-12-2024 hatimaye […]
Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (Mocu) Novemba 2024
Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (Mocu) Novemba 2024, Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-11-2024 hadi 26-11-2024 ahatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- […]










