Orodha Ya Timu Zilizofuzu Kucheza AFCON 2025, Timu Zilizofuzu AFCON 2025,Timu Ambazo Zimefuzu AFCON 2025
AFCON ni moja ya mashindano yenye hadhi zaidi barani Afrika na Duniani kwa ujumla, timu nyingi barani Afrika hupambana kuwania nafasi ya kufudhu kushiriki michuano hiyo.
Masimu mpya unatarajiwa kufanyika mwaka 2025, na kwa mwaka huu wa 2024 michuano ya kufudhu kucheza imekua ikienedelea huku baadhi ya timu zikiwa zimesha fuzu kucheza michuano hiyo ya AFCON itakayofanyika nchini Moroco mwaka 2025.
Orodha Ya Timu Zilizofuzu Kucheza AFCON 2025
Hapa chini ni miongoni mwa timu amabzo tayali zimesha jihakikishia nafasi ya kushiriki michuano ya kombe la Afrika AFCON itakayofanyika nchini Morocco.
- Morocco (Mweneyji wa Mashindano)
- Angola
- Burkina Faso
- Algeria
- Senegal
- Nigeria
- Tunisia
- Zimbabwe
- DR Congo
- Egypt
- Equatorial Guinea
- Cameroon
- South Africa
- Gabon
- Ivory Coast
- Uganda
- Zambia
- Mali
- Comoros
Mapendekezo Ya Mhariri;
1. Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
2. Msimamo wa Kundi H La Tanzania Kufudhu AFCON 2025
3. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025