NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya Temeke July 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Manispaa ya Temeke kuomba nafasi za kazi zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb. Na. FA. 97/288/01/A/25 cha tarehe 29 April, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya Temeke July 2025
Ili kusoma nafasi zilizopo, vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza linki hapo chini
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO