Close Menu

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    Winstrol: Ein Blick auf das beliebte Anabolikum

    November 13, 2025

    Hy-Vee Employee Gateway: Huddle Access Manual and Advantages Entry

    November 13, 2025

    Free casino 1xslots 50 free spins Blackjack Video game: Zero Join, Zero Download, Use Cellular!

    November 13, 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Makala
    • Michezo
    • Usaili
    • Kuitwa Kazini
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    Home»Nafasi Za Kazi Tanzania 2025»MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Majina Ya Nyongeza 07-10-2025
    Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Majina Ya Nyongeza 07-10-2025

    Kisiwa24By Kisiwa24October 8, 2025Updated:October 8, 2025No Comments2 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Majina Ya Nyongeza 07-10-2025
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email
    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Majina Ya Nyongeza 07-10-2025
    MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Majina Ya Nyongeza 07-10-2025
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba yaTaasisi ya Utafiti wa
    Kilimo Tanzania (TARI), Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Taasisi ya Elimu Tanzania
    (TIE), Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi
    wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08/10/2025 hadi
    13/10/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa
    wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
    1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu
    ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
    2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
    3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
    4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
    kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua
    ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
    5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV,
    VI, Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na
    sifa za Mwombaji.
    6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza
    matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA
    HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
    7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
    8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
    9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa
    na Mamlaka husika (kama TCU, NACTVET au NECTA)
    10. Waombaji kazi ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye
    akaunti zao za Ajira Portal na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati
    mwingine.
    11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti
    vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
    12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili
    namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili.
    13. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya
    Kiapo cha Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

    BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kisiwa24
    • Website

    Related Posts

    NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

    November 12, 2025

    NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

    November 12, 2025

    NAFASI za Kazi CRDB Bank Plc

    November 12, 2025
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025637 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025617 Views

    Matokeo ya Darasa la Saba Mkoa wa Dodoma 2024/2025

    October 16, 2024225 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Covid-19 Statistics

    [rb_covid countries_code=’CN’ countries_label=’China’ columns=1]

    Most Popular

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025637 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025617 Views

    Matokeo ya Darasa la Saba Mkoa wa Dodoma 2024/2025

    October 16, 2024225 Views
    Our Picks

    Winstrol: Ein Blick auf das beliebte Anabolikum

    November 13, 2025

    Hy-Vee Employee Gateway: Huddle Access Manual and Advantages Entry

    November 13, 2025

    Free casino 1xslots 50 free spins Blackjack Video game: Zero Join, Zero Download, Use Cellular!

    November 13, 2025

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2025 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.