AFISA UVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT FISHERIES OFFICER II) – 87 POST
JIUNGE NA WHATSAPP CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA WHATSAPP GROUP LETU HAPA,
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-03 2024-08-16
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kutengeneza, Kushona, Kutunza na Kukarabati zana za uvuvi;
ii.Kutunza na kuangalia mabwawa ya samaki;
iii.Kutega mitego Ziwani au Baharini;
iv.Kutengeneza nyavu ndogo ndogo;
v.Kuwapa chakula samaki katika mabwawa;
vi.Kuvua samaki katika mabwawa;
vii.Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi;
viii.Kukusanya takwimu za uvuvi kutoka kwenye vituo vya kupokelea samaki;
ix.Kutoa ushauri juu ya uhifadhi wa samaki na mbinu za usambazaji na uuzaji wa mazao yatokanayo na samaki; na
x.Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa samaki na mambo muhimu ya kuzingatia.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye stashahada (Diploma) ya Uvuvi (Fisheries) au Uhifadhi wa Samaki na Masoko (Fish Processing & Marketing) kutoka vyuo vya uvuvi vya Mbegani, Kunduchi au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C
APPLY HERE