Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili INEC 2025 | Orodha ya Majina ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza rasmi kutangaza majina ya waombaji waliofanikiwa kuitwa kwenye usaili kwa mwaka 2025. Zoezi hili linahusisha wagombeaji kutoka halmashauri mbalimbali nchini, ambao watapitia hatua za mahojiano ili kupata nafasi za kusimamia na kuendesha shughuli za upigaji kura katika uchaguzi mkuu ujao.
Tangazo hili ni sehemu ya maandalizi muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ambapo INEC inaendelea kuhakikisha kuwa mchakato wa uchaguzi unakuwa wa uwazi, haki, na unaozingatia misingi ya kidemokrasia.
Kupitia tangazo hili, Tume imesisitiza umuhimu wa kila aliyeitwa kuhudhuria usaili kwa wakati uliopangwa na kufuata maelekezo yaliyotolewa katika tovuti rasmi za halmashauri husika.
Tume ya Uchaguzi imeeleza kuwa hatua hii ni mwanzo wa utekelezaji wa majukumu yake ya kikatiba ya kusimamia uchaguzi huru na wa haki, huku ikiendelea kuimarisha imani ya wananchi katika mfumo wa kidemokrasia nchini.
Baadhi ya Halmashauri na Majimbo Yaliyochapisha Majina ya Walioitwa INEC 2025
- Halmashauri ya Rombo
- Manispaa ya Bukoba Mjini
- Manispaa ya Newala Mjini
- Mkoa wa Lindi
- Jimbo la Dodoma Mjini
- Wilaya ya Kisarawe
- Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo
- Majimbo ya Lulindi na Ndanda
- Jimbo la Mbeya Vijijini
- Jimbo la Mtumba
- Halmashauri ya Mbulu
- Musoma Vijijini
- Wilaya ya Nkasi
- Wilaya ya Korogwe
- Pangani
- Kilosa
- Jimbo la Hai
- Jimbo la Longodo
- Jimbo la Kasulu Vijijini
- Mtwara Mjini
- Tabora Mjini
- Mkuranga
- Buhigwe
- Kibaha Vijijini
- Kibaha Mjini
- Kibiti
- Nanyamba
- Same Magharibi
- Lushoto
- Gairo
- Babati
- Mafia
- Moshi Vijijini

1 Comment
Mnakuwa na ads nyingi sana kwenye website yenu hivyo inatufanya kutopenda kuitembelea mara kwa mara jaribuni kupunguza hizo pop-ups ads zinakera