Post Archive by Month: June,2025

Idadi ya Wabunge Tanzania 2025

Katika mwaka 2025, Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi mkuu kwa kuzingatia idadi ya wabunge tanzania 2025, ambao imefanyiwa mabadiliko hayaonyesho mkusanyiko wa maslahi ya kitaifa. Tume ya Uchaguzi (INEC) imefanya marekebisho yenye umuhimu katika mfumo wa uwakilishi bungeni. Mabadiliko ya Majimbo na Idadi mpya ya Wabunge Majimbo yaliyopo: Uchaguzi Mkuu wa 2025 utatumia majimbo 272, ambapo 222 yapo Tanzania Bara na

Continue reading

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 30 June 2025

Habari ya leo mwana kisiwa24 blog karibu katika kurasa hii ya Magazeti ya Leo Tanzania,  hapa utaweza kupitia vichwa vya habari vya kwenye Mgazeti ya leo Tanzania Jumatatu Juni 30, 2025. Kurasa hii ya Magazeti ya Leo Tanzania Inakuapa fursa ya kuweza kusoma vichwa vya hapa vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za Magazeri ya leo Jumatatu 30 June

Continue reading

NAFASI za Kazi Mufindi District council

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika ikama ya mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 na kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na. FA. 228/613/01H/042 cha

Continue reading

Nafasi za Kazi Mlimba District council

Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba imepata Kibali cha kutekeleza Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 April, 2025. Katika kutekeleza kibali hicho Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba anawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye sifa za kujaza nafasi. Nafasi za Kazi Mlimba

Continue reading

Kutoka kwa Diallo hadi Guirassy: Wachezaji Bora wa Kiafrika wa Msimu

Kampuni ya Kimataifa 1xBet Yakamilisha Msimu wa 2024/2025 Kwa Kutoa Tasnifu ya Nyota Wake Wa Kiafrika Bendi ya kimataifa 1xBet inakamilisha msimu wa 2024/2025 kwa kusisitiza nyota zake wa Kiafrika, wachezaji ambao vibao vyao vilitawaza ligi kuu za Ulaya. Endelea kufurahia mchezo ulioupenda: Bofya kiungo na uweke kamari kwenye matukio ya kusisimua. Kumbuka, kamari ni burudani, sio chanzo cha kipato.

Continue reading

NAFASI 145 za Kazi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA)

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) ni taasisi ya serikali inayoshughulikia usimamizi na uboreshaji wa bandari za Tanzania. TPA ilianzishwa mwaka 1967 na ina jukumu la kuhakikisha kuwa bandari zake zinatumika kwa ufanisi na kwa manufaa ya uchumi wa nchi. Bandari kuu zinazosimamiwa na TPA ni pamoja na Bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mtwara, Bandari ya Tanga,

Continue reading

NAFASI Za Kazi BRAC Tanzania Finance Limited

BRAC Tanzania Finance Limited ni taasisi ya kifedha inayojishughulisha na kutoa huduma za kifedha kwa wateja wake nchini Tanzania. Kampuni hii inalenga kuwahudumia wakulima, wafanyabiashara wa kati na madogo, na wajasiriamali kwa kuwapa mikopo na mafunzo ya uwekezaji. Kupitia mfumo wake wa karibu na jamii, BRAC Tanzania Finance Limited inasaidia kuimarisha uchumi wa vijijini na mijini kwa kuwapa fursa ya

Continue reading

Mabadiliko ya Eneo la Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

Wasailiwa wa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Msaidizi wa Maendeleo ya Jamii Daraja la II mnajulishwa kuwa eneo la usaili limebadilishwa kutoka ukumbi wa Bomani kwenda Shule ya sekondari Kyela. Mabadiliko ya Eneo la Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Ili kuweza kusoma mabadiliko ya usaili huu tafadhari bonyeza linki hapo chini MABADILIKO YA UKUMBI WA

Continue reading
Chuo Kikuu cha Mtakatifu John cha Tanzania (St John’s University of Tanzania – SJUT) ni chuo kikuu binafsi kinachomilikiwa na Kanisa la Anglikana Tanzania. Kimeanzishwa kwa lengo la kutoa elimu ya juu yenye msingi wa maadili, maono na huduma kwa jamii. Kiko katika mji wa Dodoma, katikati ya Tanzania, na kinatoa programu mbalimbali kuanzia shahada za kwanza hadi za juu
Smiles Dental Clinic ni kliniki ya kisasa ya meno inayotoa huduma bora kwa wagonjwa wa rika zote. Kliniki hii imejipatia sifa kwa kutumia vifaa vya kisasa na teknolojia ya hali ya juu katika kutibu matatizo mbalimbali ya meno kama vile kung’oa, kusafisha, kuweka dawa, na kufunga braces. Madaktari wake ni wataalamu wenye uzoefu mkubwa katika fani ya afya ya kinywa
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2025 na tarehe 05-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi
Angalia Majina ya Walioitwa Kazini Kupitia UTUMISHI – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) 2025 Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara Huru kilichoanzishwa mahsusi kurahisisha mchakato wa ajira kwa watumishi wa umma. Sekretarieti hii ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002
error: Content is protected !!