Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Viwango vya Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2025/2026
Michezo

Viwango vya Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2025/2026

Kisiwa24By Kisiwa24July 2, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Viwango vya Mishahara ya Wachezaji wa Azam FC 2024/2025,Mishahara ya wachezaji wa Azam FC 2024/2025, Katika makala hii ya kimichezo tutaenda kumilikia viwango vya mishahara wanayolipwa wachezaji wa klabu ya Azam FC kwa msimu wa 2024/2025.

Kama wewe ni shabiki wa Azam FC huna budi kuweza kufahamu wachezaji wa klabu yako wanalipwa kiasi gani kwa mmoja mmoja, basi hapa utapata kujua mishahara ya wachezaji wote waliopo ndani ya klabu ya Azam FC.

Azam FC

Hii ni klabu maarufu sana nchini Tanzania kutokana na utajiri wa wawekezaji wake ambao ni Bhakresa Group. Timu hii inapatikana jijini Dar es Salaam na inatumia uwanja wa Azam Complex kama uwanja wake wanyumbani. Azam Fc kwa msimu huu wa 2024/2025 inashiriki katika ligi kuu ya NBC Tanzania bara

Kikosi Kinachounda Klabu ya Azam FC

Hapa chini ni jumla ya wachezaji wote wanounda kikosi cha Azm FC kwa msimu wa 2024/2025. Hatuwezi kuzungumzia mshahara wa wachezaji wa Azam FC bila kuwafahamu wachezaji hao na nafasi zao uwanjani.

Magolikipa

  • Mohamed Mustafa
  • Abdulai Iddrisu
  • Ali Ahamada
  • Zuberi Foba Masudi

Mabeki

  • Yeison Fuentes – Beki wa Kati
  • Lusajo Mwaikenda – Beki wa Kati
  • Yoro Diaby – Beki wa Kati
  • Abdalla Kheri – Beki wa Kati
  • Pascal Msindo – Beki wa Kushoto
  • Cheikh Sidibé – Beki wa Kushoto
  • Nathaniel Raphael Chilambo – Beki wa Kulia

Viungo

  • Ever Meza – Kiungo wa Ulinzi
  • Adolf Bitegeko – Kiungo wa Ulinzi
  • Yannick Bangala – Kiungo wa Ulinzi
  • Feisal Salum – Kiungo wa Kati
  • Sospeter Bajana – Kiungo wa Kati
  • James Akaminko – Kiungo wa Kati
  • Yahya Zayd – Kiungo wa Kushambulia
  • Tepsi Evance – Kiungo wa Kushambulia

Winga

  • Abdul Hamisi Suleiman – Winga wa Kushoto
  • Gibril Sillah – Winga wa Kushoto
  • Iddy Seleman Nado – Winga wa Kushoto
  • Franck Tiesse – Winga wa Kulia

Washambuliaji

  • Jhonier Blanco – Mshambuliaji wa Kati
  • Franklin Navarro – Mshambuliaji wa Kati
  • Nassor Saadun – Mshambuliaji
  • Adam Omar Adam – Mshambuliaji wa Kati
  • Alassane Diao – Mshambuliaji wa Kati

Mishahara ya wachezaji wa Azam FC 2024/2025

Baada ya kuweza kutizama kikosi kiachounda klabu ya Azam Fc embu sasa tutizame mishahara ya wachezaji wa Azam FC kwa msimu wa 2024/2025

Hapa chini ni jedwali linaloonyesha mshahara wa kila mchezaji aliyoko kwenye klabu ya Azam FC.

Jina la Mchezaji Nafasi Yake Uwanjani Mshahara (TZS)
Mohamed Mustafa Golikipa 8M
Abdulai Iddrisu Golikipa 3M
Ali Ahamada Golikipa 13M
Zuberi Foba Masudi Golikipa –
Yeison Fuentes Beki wa Kati 6.2M
Lusajo Mwaikenda Beki wa Kati 2M
Yoro Diaby Beki wa Kati –
Abdalla Kheri Beki wa Kati 1.9M
Pascal Msindo Beki wa Kushoto 2M
Cheikh Sidibé Beki wa Kushoto 6M
Nathaniel Raphael Chilambo Beki wa Kulia 1.3M
Ever Meza Kiungo wa Ulinzi 5M
Adolf Bitegeko Kiungo wa Ulinzi 25K
Yannick Bangala Kiungo wa Ulinzi 5M
Feisal Salum Kiungo wa Kati 17.8M
Sospeter Bajana Kiungo wa Kati 3.4M
James Akaminko Kiungo wa Kati 5M
Yahya Zayd Kiungo wa Kushambulia 3M
Tepsi Evance Kiungo wa Kushambulia 800K
Abdul Hamisi Suleiman Winga wa Kushoto 2.7M
Gibril Sillah Winga wa Kushoto 6M
Iddy Seleman Nado Winga wa Kushoto 3M
Franck Tiesse Winga wa Kulia 7M
Jhonier Blanco Mshambuliaji wa Kati 10M
Franklin Navarro Mshambuliaji wa Kati 5.6M
Nassor Saadun Mshambuliaji 900K
Adam Omar Adam Mshambuliaji wa Kati 1M
Alassane Diao Mshambuliaji wa Kati 4M

Mwnozo wa mishahara ya wachezaji wa klabu ya Azam Fc umekua kichocheo kikubwa kwa wachezaji wenye uwezo wa juu kutamani kujiunga na klabu hiyo wakiwa na matarajio ya kulipwa vizuri, kitu kinacho fanya timu hiyo kuwa na wachezaji wenye uwezo wa hali yajuu na wenye kujituma zaidi wawapo uwanjani katika kutafuta matokeo bora kwa timu yao.

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleRekodi za Simba na Yanga Kufungana
Next Article Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Yanga Sc 2025/2026
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025
  • Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025
  • Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara
  • Coastal Union Vs Yanga Leo 7 Dec 2025 Saa Ngapi?
  • Simba vs Azam Leo 07 December2025 Saa Ngapi?

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025606 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025370 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025296 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.