Nafasi Mpya 90 za Kazi Kutoka Taasisi Mbali mbali za UMMA December 2024
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mifugo na Uvuvi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi miamoja na tatu (103) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. Nafasi
Continue reading