Nafasi 15 za Kazi Kutoka MDAs NA LGAs February 2025
Nafasi 15 za Kazi Kutoka MDAs NA LGAs February 2025 MASHARTI YA JUMLA. i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini serikalini. ii. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi
Continue reading