
Yanga: Hatujawai Lipwa Misimu 3 na Hatuna Taarifa ya Kudaiwa TFF
Baada ya taarifa ya Yanga kujibiwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kuhusu madai ya liyotolewa na mwanahabari wa klabu ya Yanga kupitia mkutano wa vyombo vya habari uliofanyika 09 June 2025 makao makuu ya klabu hiyo kuhusu kuidai TFF na Mdamini wa mashindano ya CRDB Federation Cup fedha za bingwa wa mshindano […]