NAFASI za Kazi Kutoka West Zone Supermarket

NAFASI za Kazi Kutoka West Zone Supermarket
NAFASI za Kazi Kutoka West Zone Supermarket
MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

Positions: Cashiers (5 posts)

Work Station: Dar es Salaam

Majukumu

  • Kusimamia mapokezi na kupokea simu zinazoingia, kuwasalimu wateja wanapoingia gym na kujibu maswali kuhusu huduma zinazotolewa.

  • Kushughulikia usajili wa wanachama, malipo yao na kutoa kadi za uanachama.

  • Kukusanya malipo kutoka kwa wanachama kwa huduma mbalimbali za gym.

  • Kuelezea sera na taratibu za kituo kwa wanachama wapya na kuwasaidia kufahamu mazingira ya kituo.

  • Kushiriki katika shughuli za uhamasishaji (promotion) na kuboresha matokeo ya biashara.

Uzoefu na Sifa

  • Mwombaji anatakiwa awe na angalau Stashahada (Diploma) katika fani yoyote ya biashara.

  • Awe na uzoefu wa angalau miaka 3 katika usimamizi wa mapokezi (Front Office Management) kwenye taasisi au shirika lenye shughuli nyingi.

Jinsi ya Kuomba

Waombaji waliokidhi vigezo wanatakiwa kutuma Barua ya Maombi pamoja na Wasifu Binafsi (CV) kupitia barua pepe:
[email protected]

Kumbuka: Taja neno “Cashier” kwenye sehemu ya subject ya barua pepe yako.

Maombi yawasilishwe kabla ya tarehe 30 Novemba, 2025,
AU fika ofisini kwetu Shamo Park House, Ghorofa ya 2, Barabara ya Bagamoyo, Mbezi Beach, kuwasilisha maombi yako kwa mkono.

error: Content is protected !!