Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri hii kuomba nafasi za kazi kumi (10) zilizotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali kutoka Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo

