Kisiwa24blog

rss feed

Kisiwa24blog's Latest Posts

Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 05/03/2026

Filed in Michezo by on March 5, 2026 0 Comments
Ratiba ya Mechi za Leo  Ligi Kuu ya NBC 05/03/2026

Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kutimua vumbi huku Mzizima Derby ikienda kuteka akili za mashabiki wa soka wa Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla wake. Hapa kisiwa24 tutakuletea ratiba na muda kamili wa michezo ya ligi kuu ta NBC Tanzania bara itakayo fanyika leo 05/03/2026. Ratiba ya Mechi za […]

Continue Reading »

Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 – TAMISEMI Form One Joining Instructions

Filed in Elimu by on January 4, 2026 0 Comments

Fomu za Kujiunga Kidato cha Kwanza 2026 ni miongoni mwa nyaraka muhimu zaidi kwa wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2025 na kuchaguliwa kujiunga na shule za sekondari za serikali Tanzania. Kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza rasmi matokeo ya upangaji wa wanafunzi pamoja na […]

Continue Reading »

NAFASI 07 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Gairo

Filed in Ajira by on January 3, 2026 0 Comments

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anawatangazia watanzania wenye sifa za kuomba nafasi za kazi saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo

Continue Reading »

NAFASI 33 za Kazi Chuo Cha MUST

Filed in Ajira by on January 3, 2026 0 Comments

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya (MUST) ni matokeo ya mabadiliko ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Mbeya (MIST) kupitia Sheria ya Vyuo Vikuu Nambari 7 (2005) na Hati ya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya ya 2013. Maono ya Chuo Kikuu ni kuwa Kituo kinachoongoza cha ubora wa maarifa, […]

Continue Reading »

NAFASI 10 za Kazi Halmshauri ya Mji Babati

Filed in Ajira by on January 3, 2026 0 Comments

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Babati anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi (10) katika halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bonyeza Hapa Kudownload PDF Ya Tangazo

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kazini Bunge la Tanzania

Filed in Ajira by on December 30, 2025 0 Comments

Katibu wa Bunge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali katika Utumishi wa Bunge waliotajwa katika Tangazo hili kwamba, walifaulu kushinda waombaji kazi wenzao kwenye usaili uliofanyika tarehe 20 – 23 Disemba, 2025 katika Ofisi za Bunge Dodoma. Hivyo, wahusika wanaarifiwa kwamba wanatakiwa kuripoti kazini Ofisi ya Bunge Dodoma ifikapo tarehe 05 Januari, 2026 kwa […]

Continue Reading »

Chagua mechi za Raundi ya 3 za AFCON zenye kusisimua zaidi na 1xBet!

Filed in Michezo by on December 30, 2025 0 Comments

Kama mdhamini rasmi wa AFCON 2025, 1xBet inafuata mashindano makubwa zaidi ya mpira wa miguu barani Afrika tangu kipenga cha kwanza kabisa. Mapigano ya kombe yamejaa shauku, tamthilia, na kutotabirika, na kila mchezo unaweza kubadilisha mwendo wa mashindano. Kuunga mkono AFCON kunamaanisha kusherehekea mpira wa miguu wa kuvutia, hisia zisizosahaulika, na mabadiliko yasiyotarajiwa ambayo hufanya […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

Filed in Ajira by on December 21, 2025 0 Comments

World Vision Tanzania ni shirika la kibinadamu lisilo la kiserikali linalofanya kazi nchini Tanzania kwa lengo la kuboresha maisha ya watoto, familia na jamii zilizo katika mazingira magumu. Shirika hili linaendesha shughuli zake kwa kushirikiana na serikali, wadau wa maendeleo na jamii zenyewe ili kushughulikia changamoto kama vile umaskini, njaa, ukosefu wa elimu bora, huduma […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

Filed in Ajira by on December 21, 2025 0 Comments

Standard Bank Group ni mojawapo ya makundi makubwa na yenye ushawishi mkubwa wa kifedha barani Afrika. Ilianzishwa mwaka 1862 nchini Afrika Kusini na imekua kwa kasi hadi kuwa taasisi ya kimataifa inayotoa huduma mbalimbali za kifedha, ikiwemo benki za rejareja, benki za biashara, uwekezaji, na huduma za kifedha kwa makampuni makubwa. Kupitia mtandao wake mpana […]

Continue Reading »

Orodha ya Tahasusi za Kidato cha Tano 2026

Filed in Elimu by on December 20, 2025 0 Comments

Tahasusi za Kidato cha Tano zimegawanywa katika makundi makuu kulingana na mwelekeo wa taaluma na mahitaji ya soko la ajira. 1. Tahasusi za Sayansi (Science Combinations) PCM – Fizikia, Kemia, Hisabati PCB – Fizikia, Kemia, Baiolojia CBG – Kemia, Baiolojia, Jiografia CBN – Kemia, Baiolojia, Lishe (Nutrition) PGM – Fizikia, Jiografia, Hisabati PGMc – Fizikia, […]

Continue Reading »