Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 05/03/2026

Filed in Michezo by on March 5, 2026 0 Comments

Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kutimua vumbi huku Mzizima Derby ikienda kuteka akili za mashabiki wa soka wa Jiji la Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla wake. Hapa kisiwa24 tutakuletea ratiba na muda kamili wa michezo ya ligi kuu ta NBC Tanzania bara itakayo fanyika leo 05/03/2026.

Ratiba ya Mechi za Leo Ligi Kuu ya NBC 05/ 03/2026

4:00 pm

Singida BS vs Young Africans

Tanzania Prisons vs Azam FC

Michezo hii yote unaweza kuitazama mubasha kupitia  AzamSports1HD.

Soma Pia:

1. Msimamo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2025/2026

2. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2025/2026

3. Vinara wa Assist Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2025/2026

4. Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2025/2026

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!