Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi Mtendaji wa Kijiji na Mtaa
Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi Mtendaji wa Kijiji na Mtaa, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekua ikitangaza nafasi za kazi ya mtendaji wa kijiji na mitaa kwa wilaya mbalimbali nchini Tanzania. Kama wewe ni miongoni mwa waliokidhi vigezo vya kua mtendaji wa mtaa au kijiji basi […]
Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025
Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza tarehe rasmi za michezo ya miashindano ya Ngao ya Jamii kwa msimu wa 2024-25, ambapo michezo hiyo imepangwa kuanza kutimua vumbi Agosti 8 hadi Agosti 11, 2024. Hii inaashiria kuanza kwa msimu mpya wa soka nchini, ukiwa unatarajiwa kua […]
Jinsi Ya Kufanya Biashara Mtandaoni (Online business)
Jinsi Ya Kufanya Biashara Mtandaoni (Online business), Je umesha wahi kufikilia kufanya biashara mtandaoni lakini hufahamu jinsi ya kuanza biashara yako? basi usijali katika makala hii tutaenda kukupa mwongozo wa kutosha juu ya namna ya kuanzisha biashara mtandaoni na kuiendesha kiufasaha. Katika ulimwengu wa leo, biashara za mtandaoni zimekuwa ni miongoni mwa njia muhimu sana […]
Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa
Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa, Habari mwana habarika24 karibu katika makala hii fupi itakayokupa mwongozo wa kuweza kuongeza pesa/salio kwenye kadi yako ya malipo ya usafiri wa mwendo kasi kwa kutumi mtandao wa Halotel (HaloPesa) Fahamu Kuhusu Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ni […]
Fahama Jinsi Ya Kutumia Kadi Ya Mwendokasi
Jinsi Ya Kutumia Kadi Ya Mwendokasi, Habari mwana Dar es Salaam, karibu katika makala hii ambayo itaenda kukupa maelekezo ya kuhusu kadi ya malipo ya usafiri wa mwendokasi. Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka Mkoa Wa Dar es Salaam (DART) imeanzisha kadijanja itakayotumika kufanya malipo ya usafiri wa mbasi ya mwendokasi ikiwa na lengo la kurahisisha […]
Kikosi Cha Yanga Msimu Wa 2024-2025
Kikosi Cha Yanga msimu wa 2024-2025, Kikosi cha Yanga 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi itakayo kupa mwongozo wa kikosi kipya cha Yanga kwa msimu wa 2024/25, Kikosi hikhi kipya cha Yanga 2024 kimejumuisha wachezaji wote waliosajiliwa katika msimu huu mpya wa ligi kuu ya NBC ikiwa ni mchakato wa kuendeleza kile […]
Jinsi ya Kutumia Kadi Ya GUSA AzamPesa
JINSI ya Kutumia Kadi Ya GUSA AzamPesa,FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake, Karibu katika makala hii itayokupa mengi kuhusu AzamPesa kama vile Jinsi ya kutumia AzamPesa, jinsi ya kujiunga na AzamPesa, Huduma zitolewazo na AzamPesa,Makato ya Azampesa Na Jinsi ya kudownload AzamPesa App JINSI ya Kutumia Kdi Ya GUSA AzamPesa Kuhusu AZAM Pesa Azam […]
Huyu Hapa Kocha Mpya Wa Manchester United Mrithi Wa Ten Hag
Huyu Hapa Kocha Mpya Wa Manchester United Mrithi Wa Ten Hag, Jumatatu ya tarehe 28 mashabiki na wapenzi wa soka duniani kote walishuhudia klabu kubwa duniani Man Utd ikimfukuza kocha wake mkuu Eric Ten Hag kufuatia matokeo mabovu ya mfururizo kwa takribani mechi 8. Matokeo yaliochangia kufukuzwa kwake ni mechi yake na West Ham Utd […]
Rodri Mshindi Wa Ballon d’Or Msimu wa 2024
Rodri Mshindi Wa Tuzo Ya Ballon d’Or Msimu wa 2024, Habari mwanamichezo wa Habariak24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa matokeo ya kinyang’anyiro cha Macho yote ya wapenzi wa soka duniani kote yanaelekea Paris, Ufaransa, ambapo sherehe ya tuzo ya Ballon d’Or 2024 ilikofanyika na kutangazwa kwa mshindi. Tuzo hii ya heshima kubwa katika […]
Ten Hag Atimuliwa Man Utd
Ten Hag Atimuliwa Man Utd, Baada ya kuitumikia klabu ya Mancherster United kwa takribani miaka miwili na na miezi kadhaa hatimae kocha mkuu wa klabu hiyo Erik ten Hag amefukuzwa kazi kutokana na mfururizo wa matokeo mabovu ya timu hiyo. Maamuzi ya klabu ya Man United kumfuta kazi Ten Hag yamekuja baada ya mechi ya […]











