Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Sifa Za Kujiunga Na Chuo cha ardhi Tabora ARITA 2024/2025
Vigezo Na Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Ardhi Tabora ARITA ukitaka kuendelea na elimu yakoya juu katika Chuo Kikuu cha Ardi Tabora ARITA, lazima kwanza uelewe ni mahitaji na sifa gani wanazohitaji. Kama Vyuo Vikuu vingine nchini Tanzania, Chuo Kikuu cha Ardhi kina viwango na mahitaji ya lazima ambayo waombaji wanapaswa kutimiza ili kukubalika. […]
Jinsi Ya Kutoa Pesa Kwenye ATM Ya CRDB Kupitia M-Pesa
Jinsi Ya Kutoa Pesa Kwenye ATM Ya CRDB Kupitia M-Pesa, kutoa pesa ATM ya CRDB kwa M-Pesa Habari ya wakati huu mwanahabarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongo wa namna ya unavyoweza kutoa pesa kwenye ATM za CRDB kwa kutumia M-Pesa yako. Kama unahitaji kutoa pesa kupitia ATM ya CRDB na kwa bahati […]
Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024
Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024, Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa mwongozo wa mechi kati ya Ethiopia na Tanzania unaofanyika leo jumamosi 16-11-2024 Leo Tanzania inakutana na Ethiopia ugenini ikiwa imecheza michezo minne katika michuano ya kufudhu AFCON ikiwa imeshinda mchezo 1, imedraw mchezo mmoja na kufungwa […]
Jinsi Ya Kukata Tiketi Ya Basi Mtandaoni
Jinsi Ya Kukata Tiketi Ya Basi Mtandaoni, Kukata tiketi ya basi kwa njia ya Simu, Habari ya wakati huu ewe msafiri wa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kwa usafiri wa basi, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa mongozo wa jinsi ya kukata tiketi ya basi mtandaoni. Je unatarajia kusafiri kutumia usafiri wa basi, […]
Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Kada Mbali Mbali Mwezi Novemba 2024
Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Kada Mbali Mbali Mwezi Novemba 2024 Hbari, je ulifanya usaili wa vitendo katika kada yoyote ile kwa mwezi huu wa novemba, basi huna budi kuweza kutazama matokeo ya usaili huo hapa. Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 13/11/2024 ARTISAN II (HIGHWAY & BRIDGES) CIVIL ARTISAN (GANGMEN) ENGINEER II […]
Soma Habari Za Kwenye Magazeti Ya Leo Tanzania November 14,2024
Soma Habari Za Kwenye Magazeti Ya Leo Tanzania November 14,2024, Habari mwanahabarika24, karibu katika posti hii amabayo itaenda kukupa wasaha wa kusoma jichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Tanzania. Hapa utaweza kupitia taarifa mbali mbali kwa ufupi kama vilivyoweza kuandikwa katika magazeti tofauti tofauti ya leo November 14,2024. Basi acha tukupeleke moja kwa […]
Nafai Za Kazi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Novemba 2024
Nafai Za Kazi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Novemba 2024 POST CABIN CREW INSTRUCTOR II(RE-ADVERTISED) DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To assist in conducting cabin crew training; ii. To Assist in conducting tutorial and practical exercises for students under close supervision; iii. To prepare material for practical exercises; iv. To conduct examination and submits results; […]
Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI
Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI, Habari mwana Habarika24, tunafuraha kubwa kuona bado upo na sisi na bado unafuatilia Makala zetu, leo katika Makala hii tutaenda kukuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kujiunga na mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI. Kama tujuavyo vijana waliowengi pindi wanapohitimu daraja flani la elimu huwa […]
Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kupitia Mitandao Ya Simu
Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kupitia Mitandao Ya Simu, Habari ya wakati huu mwanahabarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo juu ya jinsi ya kuweka pesa kwenye kadi ya mwendokasi kupitia mitandao ya simu. Fahamu Kuhusu Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ni taasisi […]
Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025
Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Habarika24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha juu ya jezi mpya za klabu ya Yanga zitakazoenda kutumika katika msimu huu mpya wa 2024/2025. Nafasi ya Yanga Msimu Uliopita Msimu uliopita katika ligi kuu ya NBC klabu ya Yanga alimaalufu kama wana jangwali walimaliza […]











