Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

Sifa za Kujiunga na Kozi Katika Chuo Kikuu Cha Mzumbe

Filed in Makala, Siafa za Kujiunga na Vyuo Tanzania by on December 1, 2024 0 Comments

Sifa za Kujiunga na Kozi Katika Chuo Kikuu Cha Mzumbe, Sifa Za Kusoma Katika Chuo Kikuu Cha Mzumbe, vigezo vya kujiunga na Chuo Kikuu cha Mzumbe:Karibu katika makala hii itakayoenda kukupa mwongozo juu ya sifa na vigezo vy kujiunga na kozi mbali mbali katika chuo cha Mzumbe. Kama umehiti kidato cha sita na unatamani kusoma […]

Continue Reading »

Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa CAF 2024/2025

Filed in Michezo by on November 23, 2024 0 Comments

Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa CAF 2024/2025, Klabu ya Yanga ali maarufu kama wana jangwani wamezindua jezi zao mpya amabzo ndio zitakazotumika katika michuano ya kimataifa kwenye ligi ya klabu bingwa Afrika katika msimu huu mpya wa 2024/2025 Ikumbukwe kua klabu ya Yanga ndio klabu pekee iliyobakia katika michuano ya klabu bingwa Afrika kwenye […]

Continue Reading »

Viingilio Mechi Ya Yanga Vs Al Hilal Sudan Jumanne 26 Novemba 2024

Filed in Michezo by on November 21, 2024 0 Comments

Viingilio Mechi Ya Yanga Vs Al Hilal Sudan Jumanne 26 Novemba 2024, Habari mwana michezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukuhabarisha juu ya bei ya tiketi ya mechi ya Yanga Vs Al Hilal Sudani itakayo chezwa siku ya jumanne 26 Novemba 2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es […]

Continue Reading »

Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (Mocu) Novemba 2024

Filed in Usaili by on November 20, 2024 0 Comments

Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (Mocu) Novemba 2024, Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-11-2024 hadi 26-11-2024 ahatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- […]

Continue Reading »

Habari Za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi 21 November 2024

Filed in Magazeti by on November 20, 2024 0 Comments

Habari Za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi 21 November 2024, Habari mwanahabarika24, karibu katika posti hii amabayo itaenda kukupa wasaha wa kusoma jichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Tanzania. Hapa utaweza kupitia taarifa mbali mbali kwa ufupi kama vilivyoweza kuandikwa katika magazeti tofauti tofauti ya Leo Alhamisi 21 November 2024. Basi acha […]

Continue Reading »

Habari Za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 20 November 2024

Filed in Magazeti by on November 19, 2024 0 Comments

Habari Za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 20 November 2024 Habari Za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 20 November 2024, Habari mwanahabarika24, karibu katika posti hii amabayo itaenda kukupa wasaha wa kusoma jichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Tanzania. Hapa utaweza kupitia taarifa mbali mbali kwa ufupi kama vilivyoweza kuandikwa katika […]

Continue Reading »

Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025

Filed in Michezo by on November 19, 2024 0 Comments

Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025, Kombe la Shirikisho la Afrika (AFCON) 2024/2025Habari ya wakati huu mwanamichezo wa habarika24, karibu katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kuangazia juu ya ratiba ya mechi za Simba Sc kombe la shirikisho Afrika 2024/2025. JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE […]

Continue Reading »

Msimamo wa Kundi H La Tanzania Kufudhu AFCON 2025

Filed in Michezo by on November 19, 2024 0 Comments

Msimamo wa Kundi H La Tanzania Kufudhu AFCON 2025, Msimamo wa Kundi la Tanzania (Taifa Stars) kufudhu AFCON 2025, Nafasi ya Tanzania kwenye kundi H kufudhu AFCON 2025 Msimamo wa Kundi H La Tanzania Kufudhu AFCON 2025 Habari mwanamchezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa kundi H kwenye michuano ya […]

Continue Reading »

Tanzania Vs Guinea Leo 19 Novemba 2024

Filed in Michezo by on November 19, 2024 0 Comments

Tanzania Vs Guinea Leo 19 Novemba 2024, Ikiwa michuano ya kufudhu kwenda AFCON 2025 inaendelea leo timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inaenda kucheza na timu ya Guinea ikiwa ndio mchezo wa mwisho ili kufudhu kwenda AFCON. Mchezo wa kwanza uliofnyika 10/09/2024 Tanzania ikiwa ugenini iliibuka na ushindi wa goli 2 kwa 1. Hivyo […]

Continue Reading »

Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu 18 November 2024

Filed in Magazeti by on November 17, 2024 0 Comments

Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu 18 November 2024, Habari mwanahabarika24, karibu katika posti hii amabayo itaenda kukupa wasaha wa kusoma jichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Tanzania. Hapa utaweza kupitia taarifa mbali mbali kwa ufupi kama vilivyoweza kuandikwa katika magazeti tofauti tofauti ya Leo Jumatatu 18 November 2024. Basi […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!