Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga
Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga, Klabu ya Yanga SC imetangaza uteuzi wa Saed Ramovic kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo. Ramovic, raia wa Ujerumani, anaingia Yanga akiwa na uzoefu mkubwa katika ulimwengu wa soka. JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA. Cv ya Sead […]
Kampuni na App za Mikopo ya Papo Hapo Tanzania
Mikopo ya Papo Hapo Tanzania, Je wewe ni miongoni mwa wanaohitaji mikopo ya haraka zaidi (Papo Hapo) basi usijali maana makala hii itaenda kukuonyesha njia rahisi za kupata mkopo wa haraka zaidi papo hapo bira kusubili kwa muda mrefu. Mikopo ni sehemu ya mahitaji ya watanzania walio wengi hasa pale wanapokutwa na changamoto inayohitaji utatuzi […]
Habari za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 04 December 2024
Habari za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano 04 December 2024 Habari mwanahabarika24, karibu katika posti hii ya magazeti ya Tanzania leo amabayo itaenda kukupa wasaha wa kusoma jichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Jumatano 04 December 2024. JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA. Hapa utaweza kupitia […]
Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Uongozi
Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Uongozi, Taasisi ya Uongozi ni chuo kinachotoa mafunzo endelevu kwa viongozi. Lengo kuu la chuo ni kuhamasisha na kuimarisha uongozi. Taasisi ya UONGOZI, ilianzishwa mwaka 2010 na serikali ya Tanzania, imejitolea kuwahamasisha na kuwatayarisha viongozi wa Tanzania na Afrika kutoa masuluhisho jumuishi na endelevu kwa mataifa yao na Afrika. […]
Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025,Mrchi za Yanga, Mechi zote za Yanga NBC Tanzania 2024 Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika ukrasa huu utakao kujuza ratiba kamili ya mechi zote za yanga sc katika ligi kuu ya Nbc msimu huu wa 2024/2025. Ikiwa zimebaki siku chache ili kuanza […]
Habari Za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne 03 December 2024
Habari Za Kwenye Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne 03 December 2024 Habari mwanahabarika24, karibu katika posti hii ya magazeti ya Tanzania leo amabayo itaenda kukupa wasaha wa kusoma jichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Jumanne 03 December 2024. Hapa utaweza kupitia taarifa mbali mbali kwa ufupi kama vilivyoweza kuandikwa katika magazeti tofauti tofauti […]
Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024
Majina Wailioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali December 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 03-12-2024 hadi 10-12-2024 hatimaye […]
Nafasi ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
Nafasi ya Simba Sc Kwenye Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025, Msimamo wa Simba SC ligi kuu ya NBC 2024/2025, Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwenendo wa klabu yako pendwa ya wekundu wa msimbazi Simba SC Kwenye ligi kuu ya NBC kwa msimu huu mpya wa 2024/2025. […]
Simba Sc Vs Fc Bravos Do Maquis 27 Nov 2024
Simba Sc Vs Fc Bravos Do Maquis 27 Nov 2024, Habari ya wakati huu mwanamichezo wa blog pendwa ya Habraika24, Karibu katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kuangazia kwa undani juu ya mechi ya Simba Sc dhidi ya klabu ya Fc Bravos Do Maquis kutokea nchini Angola leo Tarehe 27 Nov 2024. Huu […]
Nafasi ya Yanga Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025
Nafasi ya Yanga Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025, msimamo wa Klabu ya Yanga ligi kuu ya NBC 2024/2025, Habari mwanamichezo wa habarika 24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa nafasi ya klabu ya Yanga kwenye kombe la ligi kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025. JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE […]











