Kisiwa24

rss feed

Kisiwa24's Latest Posts

MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 12 June 2025

Filed in Ajira by on June 12, 2025 0 Comments

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 12 June 2025 Ili kuweza kusoma matokeo haya tafadhari bonyeza linki hapo chini MUUNDA BOTI DARAJA LA II (BOAT BUILDER II)

Continue Reading »

Ratiba na Nauli ya MV Victoria Hapa Kazi Tu 2025

Filed in Makala by on June 12, 2025 0 Comments

Ziwa Victoria, Ni moja miongoni mwa maziwa makubwa zaidi Tanznia na Afrika, limekuwa kitovu cha usafiri wa majini kwa miongo mingi kati ya mkoa wa Mwanza na wilaya ya Bukoba. Leo katika makala hii tutaenda kukupa ufahamu zaidi juu ya nauli na ratiba ya meli mpya ya MV Victoria Hapa Kazi tu inayofanya safari zake […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO)

Filed in Ajira by on June 12, 2025 0 Comments

Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) ni shirika la umma linalojishughulisha na uzalishaji, usambazaji, na uuzaji wa ranchi na bidhaa zinazohusiana nchini Tanzania. Ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha kuwa wakulima na wafugaji wanapata ranchi bora na ya bei nafuu, pamoja na kusaidia kuimarisha sekta ya kilimo na ufugaji nchini. NARCO ina jukumu muhimu katika kusambaza […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 11 June 2025

Filed in Ajira, Usaili by on June 12, 2025 0 Comments

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 11/06/2025 Ili kusoma maotokeo tafadhari bonyeza kwenye kila linki hapo chini; ARTISAN II (MECHANICAL PLANT OPERATOR II – NIRC

Continue Reading »

MABADILIKO Eneo La Usaili Wa Mahojiano Afisa Utalii Dar es Salaam

Filed in Ajira, Usaili by on June 11, 2025 0 Comments

Waombaji kazi wa kada  Afisa Utalii Daraja la II (Tourism Officer II) waliopangwa kufanya usaili wa mahojiano katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Dar es salaam kuwa, sasa usaili huo utafanyika katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo jengo la Utumishi Kivukoni Dar es salaam tarehe 12 Juni,2025. MABADILIKO […]

Continue Reading »

NAFASI 50 za Kazi Kutoka UTUMSHI Taasisi Mbalimbali za Umma

Filed in Ajira by on June 11, 2025 0 Comments

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali na hadhi ya Idara ya kujitegemea iliyoanzishwa hasa ili kuwezesha mchakato wa kuajiri wa wafanyakazi katika taasisi mbalimbali za Umma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa na Sheria ya Utumishi wa Umma ya Nambari ya 8 0 ya 2002. Maono ya […]

Continue Reading »

NAFASI 25 za Kazi Hesu Investment Ltd

Filed in Ajira by on June 11, 2025 0 Comments
NAFASI 25 za Kazi Hesu Investment Ltd

Hesu Investment Ltd ni kampuni inayojishughulisha na shughuli mbalimbali za uwekezaji katika soko la fedha na mali. Inalenga kuunda mfuko thabiti wa uwekezaji kwa wateja wake kwa kuchambua fursa kwenye sekta tofauti kama vile mali isiyohamishika, hisa, dhamana, na teknolojia. Kupitia timu ya wataalam wenye uzoefu, kampuni hii hutoa ushauri na usimamizi wa uwekezaji unaolenga […]

Continue Reading »

NAFASI Za Kazi Bagamoyo Sugar Limited

Filed in Ajira by on June 11, 2025 0 Comments

Bagamoyo Sugar Limited ni kampuni kubwa ya uzalishaji wa sukari nchini Tanzania, ikiwa na makao makuu na viwanda vyake vilivyopo katika eneo la Kisarawe, Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Kampuni hii, ambayo ni sehemu ya kikundi cha biashara cha Bakhresa Group kinachojulikana kimataifa, imeanzisha maeneo makubwa ya mashamba ya miwa kwenye ardhi iliyopimwa kwa uangalifu. […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Mkombozi Commercial Bank PLC June 2025

Filed in Ajira by on June 11, 2025 0 Comments

Benki ya Mkombozi Commercial Bank PLC (MKCB) ni taasisi ya kifedha inayoongoza nchini Tanzania, ikiwa imejikita kwa nguvu katika kuinua uchumi na kuwawezesha wateja wake. Ilianzishwa rasmi mwaka wa 2009, MKCB imejengu sifa kuu ya kuwa benki inayolenga kwa makini mahitaji ya Watanzania wote, hasa wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs), wakulima, na taasisi ndogo […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 11 June 2025

Filed in Magazeti by on June 10, 2025 0 Comments

Habari mwana kisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya magazeti ya leo Tanzania Jumatano Juni 11, 2025. Hapa utaweza kupata wasaha wa kusoma vichwa vya habari vilivyoweza kupewa uzito kwenye kurasa za mbele za magazati ya leo Tanzania 11 june 2025 siku ya jumatano. MAGAZETI ya Leo Jumatano 11 June 2025  

Continue Reading »