Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Jinsi ya Kununua Tiketi Za Mpira Airtel Money 2025
Jinsi ya Kununua Tiketi Za Mpira Kupitia Mtandao wa Airtel Money, Habari za wakati huu mwanamichezo wa Habarika24, karibu tena katika makara hii fupi itakayoenda kuangazia juu ya Jinsi ya Kununua Tiketi Za Mpira Kupitia Mtandao wa Airtel Money, kama wewe ni sabiki wa mpira wa miguu na ungependa kwenda kutazama mechi ya timu unayoishangilia […]
Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2025
Kampuni ya Apple baada ya kutoa iPhone 16 Pro hapo hapo wakatoa tole jingine la iPhone 16 Pro max ambapo hii ni zaidi ya ile ya Pro, Ubora katika iPhone 16 Pro Max uliongezwa zaidi na ndio maana tukamua kukuletea bei halali ya simu hii ambalo ni maboresho ya matokeo ya iPhone 16 Pro. Kama […]
Bei ya iPhone 16 Pro Tanzania 2025
Bei ya iPhone 16 Pro Tanzania, bei ya simu ya iPhone 16 Pro leo Tanzania, Habari mwana Kisiwa24 blog, karibu tena katika makala hii fupi ambaoyo itaenda kukuonyesha makadilio ya bei ya iPhone 16 Pro Tanzania. Kama wewe ni mpenzi wa kutumia simu za kampuni ya Apple basi utakua umesha sikia kuhusu simu ya iPhone […]
EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania 2025
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini kwa mwezi Aprili, zitakazotumika kuanzia Jumatano, tarehe 02 Aprili 2025 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi huu, gharama za uagizaji mafuta (premiums) zimepungua kwa wastani wa asilimia 6.08 kwa mafuta ya petroli, asilimia 7.09 kwa […]
Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu 2025
Viwango vipya vya mishahara ya walimu serikalini, viwango vya mishahara ya walimu, Habari mwana habarika24, karibu katika makala hii mambayo kwa kinaitaenda kukuelezea juu ya viwango vya mishahara ya walimu serikalini. Kama wewe ni mwalimu na unakaribia kuajiliwa au ni mwajiriwa katika shule za serikali basi ni muhimu kuweza kufahamu kiwango cha mshahara wako kulingana […]
Afisa Maendeleo ya Jamii na Majukumu Yake
Afisa maendeleo ya Jamii, Huyu ni mtendaji katika jamii ambaye kazi yake kuu ni kusimamia na kuhakikisha utekelezaji wa shughuli za kimaendeleo kakita jamii husika. Afisa maendeleo ya jamii hufanya kazi kwa kuasidia na watu pamoja na jumuia nyingine ili kuhakikisha mipango yote ya maendeleo katika jamii inafanikiwa kwa uykarobu. Mfano afisa maendeleo ya jamii […]
Vyeo vya Jeshi la Magereza Tanzania
Vyeo vya Jeshi la Magereza Tanzania Jeshi la Magereza Tanzania (TPS) lina jukumu kubwa katika kudumisha sheria na utulivu ndani ya mfumo wa urekebishaji nchini. Sawa na huduma nyingi zilizo na sare, TPS ina muundo wa daraja uliobainishwa vyema na safu mbalimbali zinazoashiria mamlaka, wajibu na uzoefu. Chapisho hili la blogu linalenga kutoa maelezo ya […]
Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania
Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Mkuu ni miongoni mwa watu muhimu sana katika mfumo wa sheria wa Tanzania. Ofisi hii inawajibika kwa kazi kadhaa muhimu zinazohakikisha uendeshaji mzuri wa mfumo wa sheria na haki. Majukumu ya msingi ya Jaji Mkuu wa Tanzania ni haya yafuatayo: Haya Hapa Majukumu Muhimu ya Jaji Mkuu o Uteuzi […]
Vifurushi vya Starrtimes Na Bei Zake 2025
Katika 2025, Startimes inaendelea kutoa vifurushi vinavyofaa kwa watazamaji wa Antena na Satelaiti nchini Tanzania. Makala hii inakuletea bei ya vifurushi vya Startimes 2025, aina za vifurushi, mbinu za malipo, na vidokezo muhimu vya kuchagua kifurushi kinacholingana na mahitaji yako. Aina za Vifurushi na Bei kwa Mwezi (2025) 1. Vifurushi vya Antena (DTT) Nyota – […]
Bei ya Madini ya Tanzanite Tanzania 2025
Bei ya Madini ya Tanzanite Tanzania 2025 | Mwongozo wa Thamani na SokoTanzanite, madini ya kipekee yanayopatikana tu katika eneo la Mirerani, Tanzania, yamekuwa chanzo kizuri cha utajiri na umaarufu wa nchi kwenye soko la kimataifa. Kwa kuzingatia mwaka 2025, makala hii inatoa uchambuzi wa kina juu ya Bei ya Madini ya Tanzanite Tanzania, sababu […]











