Nauli ya Basi Dar to Morogoro

Nauli Za Mabasi Ya Dar To Morogoro
Nauli Za Mabasi Ya Dar To Morogoro
Mabasi Ya Dar Kwenda Morogoro
Kuna makampuni mengi ya mabasi yanayofanya safari zake kutoka Dar kwenda Morogoro na huduma hii hutolewa kila siku kutoka stendi ya mabasi ya Dar es salaam stendi ya Magufuri iliyoko Mbezi na ile ya msamvu iliyoko Morogoro.
Miongoni mwa kampuni hizo za mabasi ni pamoja na;
- Abood Bus Servics
- New Force
- Hood
- Happy NATION
- BM Coach

Abood Bus Servics
Nauli ya Basi Dar Es Salaam kwenda Morogoro
Kama tulivyosema hapo awali makala hii inahusu moja kwa moja Nauli ya Basi Dar Es Salaam kwenda Morogoro na Morogoro kwenda Dar es salaam. Na hapa chini tunaenda kuangazia nauli hizo.
Kabla hatujataja nauli za mabasi hayo ikumbukwe kua mabasi haya yanatoa nauli zake kulingana na ubora wa mabasi na huduma zitolewazo na mabasi hayo.Kuna mabasi ya kawaiada na yale ya luxury utofauti wa ubora na huduma pia hupelekea utofauti wa nauli zake.
Nauli za Mabasi ya Luxury Dat to Morogoro
Nauli za mabasi ya luxury kutoka dar kwenda morogoro ni kubwa kidgo, hii ni kutokana na huduna zitolewazo nada ya mabasi hayo na ubora wa mabasi hayo. Nauli yake inacheza kati ya Tsh 14,000 hadi Tsh 25,000. kulingana na ubora na kampuni ya basi husika ( hapa tun mabasi ya luxury na semi luxury).
Nauli ya Mabasi ya Kawaida (ordinary level)
Nauli za mabasi haya ni za kawaida maana hazina huduma kubwa kama zile zinazo patikana katika mabasi ya daraja la juu na kati. Nauli za mabasi haya ni kati ya Tsh 8,000 hadi 12,000.
Ratiba ya Safari ya Mabasi ya Dar Morogoro
Usafiri wa Dar to Morogoro unapatikana wakati wowote ule katika stendi za Magufuri jijini Dar es salaam na stendi ya Msamvu Mjini Morogoro kuanzia saa 11;00 alfajiri hadi saa 10;00 ya usiku.
Safari ya mabasi haya huchukua taktibani masaa 3 hadi 4 kutoka dar kwenda morogoro au morogoro kwenda Dar es salaam kutegemeana na hali ya barabara na hali ya hewa.
Huduma Zitolewazo na Mabasi ya Dar to Morogoro
Mabasi haya yalioyomengi ya luxury/daraja la juu hutoa huduma mbali mbali kwa wateja wake ili kumfanya abiria afurahiye safati na kutohisi uchovu wa safari. Baadhi ya huduma zitolewazo na mabasi ya Dar to Morogoro au Morogoro to Dat es salaam ni pamoja na;
- Huduma ya Runinga
- Huduma ya Intaneti (Wifi)
- Hudum ya vyakula na vinywaji
- Huduma ya kuchaji simu
Machaguo ya Mhariri;
1. Kampuni Za Mabasi Ya Dar To Morogoro | Mabasi ya Morogoro
2. Mshahara wa Rais wa Tanzania
3. Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake
5. Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania