Close Menu

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    What's Hot

    NAFASI Za Kazi Geita Gold Mine (GGM)

    November 16, 2025

    NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania 2025

    November 16, 2025

    Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) November 2025

    November 16, 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    • Home
    • Ajira
    • Makala
    • Michezo
    • Usaili
    • Kuitwa Kazini
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Kisiwa24
    Home » Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake
    Makala

    Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake

    Kisiwa24By Kisiwa24January 25, 2025Updated:January 25, 2025No Comments5 Mins Read
    Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania
    Share
    Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

    Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake, Habari ya wakati huu mpenzi mfuatiliaji wa blog yako pendwa ya Habarika24, kama ilivyo kua ada yetu tumekua tukikuletea maka za aina mbali mbali kila siku kuhusu jamii, uchumi na hata siasa, leo katika makala hii tutaenda angazia juu ya mishahara ya wabunge nchini Tanzania. Ifahamike ya kua mishahara ya wabunge imekua ikijadiliwa na watu wa aina tofauti tofauti kakika nyakati tofauti tofauti na ndio maana leo tumeamua kukuletea makala hii ambayo itabeba vitu vya msingi juu ya mishahara ya wagunge nchini Tanzania.

     

    Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake

    Mbunge ni Nani?

    Mbunge au wabunge ni wawakilishiwa wananchi katika serikali, hivyo basi tunaweza sema wabunge husimama kana kiunganishi kati ya serikali na raia wanao waongoza, mahitaji na changamoto za wananchi huwasilishwa na wabunge katika serikali yao.

    Mbunge Huchaguliwa na Nani?

    Mbunge huchaguliwa na wananchi wa jimbo husika baada ya kumpigia kura, Kupitia vyama vyao wabunge hunadi sera na mpipango yao ya kuwatetea na kuwaongoza wananchi mbele ya serikali wakiwa jukwwani na pindi hoja za mmoja kati yao zinapoeleweka na wananchi basi hupigiwa kura na kuchaguliwa kuwawakilisha wananchi hao katika bunge.

    Majukumu Ya Mbunge Ni Yapi?

    Kama tulivyosema hapo awali mbunge ni mwakilishi wa wananchi katika serikali, kazi za mbunge hufanyika hasa bungeni katikaka kuwakilisha changamoto za wananchi wake na kuhakikisha utekelezaji wa majukumu yote ya serikali kuu kwa wannchi wake.

    Mbunge hupokea mshahara kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine wa serikali lakini nje ya mshahara pia mbunge hupokea marupurupu ya ziada kutokana na kazi mbali mbali azitendazo. Hivyo basi makala hii itaenda kuangazia kiwango harisi cha mshahara wa mgunge na marupurupu yake.

    Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake
    Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake
    MATANGAZO YA AJIRA BOFYA HAPA

    Vitu vya Msingi Vya Kuziongatia Kuhusu Mshahara Wa Mbunge

    Pindi unapotaka kuuzungumzia mshahara wa Mbunge nilazima uweze kuangazia mambo mbali mbali yanatokana na shuguli zake kama malipo, ukiachilia mbali mshahara wenyewe, Hivyo basi hapa chini tumejaribu kuchanganua malipo yote anayopokea Mbunge kutokana na majukumu yake;

    1. Mshahara; 

    Kama ilivykua kwa wanfakazi wengine katiaka serikali na taasisi za uma mbunge pia hupokea mshahara kama malipo ya msingi kabisa katika kazi zake. Kwa makadilio ya kawaida mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania hupokea mshahara unaokadiriwa kua kiasi cha Tsh milioni 3.8  kwa kila mwezi ukiondoa malipo ya ziada.

    2. Malipo Ya Ziada

    Nje ya malipo ya msingi ya kikazi (mshahara) pia mbunge hupokea pesa ya ziada inayotambulika kama marupurupu amabyo makadilio ya chini ni zaidi ya milioni 7 kwa kila mezi hivyo kuongeza malipo yake ya mshahara hadi kufikia zaidi ya Tsh milioni 11.5 za kitanzania kwa mwezi.

    Ukiangalia mchanganuo huo hapo juu utaona jinsi mbunge wa bunge la jamuhuri wa Tanzania anavyopokea mshahara mkubwa sana na kitu hiki ndio kilichopelekea kuibuka kwa mijadala mingi juu ya kuondolewa kwa posho au pesa za ziada nje ya mshahara wa wabunge pindi wanapouzulia vikao vya bunge hii ni kutokana na ukubwa wa posho hizo hivyo kua kama mzigo mkubwa kwa serikali.

    Mshahara wa Mbunge na Pesa za Ziada (marupurupu)

    Mbunge hupewa msahara kama malipo ya msingi lakini pia hupewa posho kama malipo ya ziada na hiyo huperekea mshahara wake au malipo yake kufikia hadi zaidi ya shilingi milioni 11.5. Posho anazo pewa mbunge ni pamoja na posho za kodi ya nymba, usafiri na posho za viako mbali atakavyo kua nahuzuria

    Mchanganuao Wa mshahara wa Mbunge na Posho Zake

    1. Mshahara – Hupokea kiasi cha shilingi Milioni 3.8 kwa mwezi
    2. Pesa ya Usafiri- Hupewa shilingi milioni 1 kila mwezi
    3. Pesa ya Nyumba – Hupewa kiasi cha shilingi milioni 2kwa ajili ya malipo ya nyumba
    4. Pesa ya Vikao- Kila akiuzulia kikao kimoja hulipwa kiasi cha shilingi laki 2 na elfu 40 – 240,000

    Changamoto Kuhusu Mhahara wa Mbunge

    Kumekua na mambo kadha wa kadha ambayo yamekua yakiibuka na kujadiliwa kuhusu mishahara na posho za wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania na hata kupelekea kusambaa kwa taarifa zisizo sahihi kwa jamii yetu, kama vile kuonngeza kwa mshahara wa wabunge kitu ambacho kilitolewa maelezo na serikali kuu na kukanushwa

    Lakini pia wanaharakati na raia wamekua wakijadili hoja hii ya mshahara wa wabunge kwa njia na mawzo tofauti tofauti hivyo kuleta mgawanyiko kati yao kwani wapo wanao amini kua mbunge ana haki na stahiki zote kulipwa kiasi hicho cha pesa ukizingatia majukumu na kazi anazozifanya huku wapo ambao wanakinzana na mshahara huo kwa kudai mshahara wa mbunge umekua mkubwa mno hiyo kipa serikali mzingo mzito kwa kuwazingatia wao na kuacha jamii ikipitia kipindi kigumu kwenye huduma mbali mbali.

    Hivyo basi sisi kama Habrika24 tungependa kuishauli jamii kuelewa kwa mapana juu ya mchakato unaopitiwa naserikali kwenye kuunda malipo yote ya mbunge ikiwemo malipo ya msingi (mshahara) na pesa ya ziada ka ma vile posho ya lakini pia serikali inapaswa itumie mfumo wazi ili jamii ielewe juu ya vigezo vya kimsingi vinavyotumika kuweka malipo hayo kwani wanbunge ni zao la wananchi.

    Kwa maelezo zaidi unaweza tembelea makala iliyoandikwa kwenye mtandao wa jamii forum kwa kubonyeza HAPA

    Mapendekezo Ya Mhariri;

    1. Mshahara wa Mkurugenzi wa Halmashauri

    2. Mshahara wa jaji Tanzania

    3. Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania

    4. Viwango Vya Mishahara ya Viongozi wa Serikali

    5. Jinsi Ya Kuhakiki Bima Ya Gari

    Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
    Kisiwa24
    • Website

    Related Posts

    Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

    October 9, 2025

    Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

    October 9, 2025

    Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

    October 8, 2025
    Leave A Reply Cancel Reply

    Demo
    Top Posts

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    November 14, 2025944 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025878 Views

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025696 Views
    Stay In Touch
    • Facebook
    • YouTube
    • TikTok
    • WhatsApp
    • Twitter
    • Instagram
    Latest Reviews

    Subscribe to Updates

    Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

    Demo
    Covid-19 Statistics

    [rb_covid countries_code=’CN’ countries_label=’China’ columns=1]

    Most Popular

    Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi

    November 14, 2025944 Views

    Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

    July 12, 2025878 Views

    PDF ya Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Magereza 2025/2026

    September 30, 2025696 Views
    Our Picks

    NAFASI Za Kazi Geita Gold Mine (GGM)

    November 16, 2025

    NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Tanzania 2025

    November 16, 2025

    Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) November 2025

    November 16, 2025

    Subscribe to Updates

    Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • Home
    • Buy Now
    © 2025 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.