Kisiwa24
Kisiwa24's Latest Posts
Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier 2025/2026
Simba SC, maarufu kama Wekundu wa Msimbazi, wametoa ratiba rasmi ya michezo yao kwa msimu wa 2025/2026 wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara. Ratiba hii imepokelewa kwa shangwe kubwa na mashabiki kote nchini, huku matarajio ya ushindi na ubingwa yakizidi kupanda. Mashabiki wanatarajia michezo mikali ndani na nje ya Dar es Salaam, ambapo kila mchezo […]
Ratiba Ya Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2025/2026
Ligi Kuu ya NBC Tanzania ni mojawapo ya mashindano maarufu na yenye msisimko mkubwa katika medani ya soka nchini. Ligi hii inasimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambalo limekuwa likifanya kazi kubwa kuhakikisha kuwa ligi inakua na inaboresha kiwango cha soka nchini. Msimu wa 2025/2026 unatarajiwa kuwa na ushindani mkali na burudani […]
Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali
Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali Duniani, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, katika kurasa hii tunaenda kukuonyesha ratiba ya mechi za leo ligi mbali mbali duniani kama vile Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Ratiba ya Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Ratiba ya Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga), Ratiba ya Ligi Kuu ya […]
Orodha ya Makombe Yote ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Tanzania
Orodha ya Makombe Yote ya Simba SC Kwenye Ligi Kuu Tanzania,Makombe aliyoshinda Simba Tanzania, Habari mwana Simba SC karibu katika makala hii fupi ya kimichezo itakayoenda kukupa wasaha wa kuweza kufahamu idadi kamili ya makombe amabayo klabu yako ya Simba imeweza kujikusanyia kutoka ligi mbali mbali za Tanzania tangu kuanzishwa kwake. Orodha ya Makombe Yote […]
PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi March 2026
MAJINA YA walioitwaKWENYE USAILI Utumishi Leo 2026, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi na Ajira Portal 2026, Walioitwa kwenye Usaili Utumishi, majina walioitwa usaili ajira portal. Karibu katika ukrasa huu wenye PDF za majina ya walioitwa kwenye usaili Utumishi leo, wiki hii na mezi huu. Hapa utaweza kupata updates za majina kila siku waliotwa kwenye […]
NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania 2026
Vodacom Tanzania ni kiongozi katika sekta ya mawasiliano ya kielektroniki nchini Tanzania. Kampuni hii imekuwa nyumbani kwa Watanzania kwa miaka mingi, ikiwa na mtandao mkubwa na wa kina unaofikia maeneo mbalimbali nchini, hata yale yaliyopo mbali na mijini. Kupitia huduma zake kuu za simu, intaneti, na pesa za mkono (M-Pesa), Vodacom imebadilisha njia Watanzania wanavyowasiliana, […]
Nafasi za Kazi Kutoka Geita Gold Mining Ltd (GGM) 2026
Geita Gold Mining Ltd (GGL) ni moja kati ya migodi mikuu na yenye uzalishaji mkubwa zaidi wa dhahabu nchini Tanzania. Mgodi huo unazolishwa na kampuni ya Anglogold Ashanti, moja ya makampuni makuu duniani katika uchimbaji wa dhahabu, na uko katika Mkoa wa Geita. GGL imekuwa nyenzo muhimu katika uchumi wa Tanzania kwa kushiriki kikamilifu katika […]
NAFASI za Kazi Kutoka Yas Tanzania 2026
Yas Tanzania ni shirika lenye misheni maalum ya kuwawezesha vijana na wanawake nchini Tanzania. Kupitia miradi mbalimbali, shirika hili linalenga kuwapa uwezo wa kiuchumi, haswa kwa kutoa mafunzo ya ujasiriamali, ujuzi wa kibiashara, na mikopo ya awali ya kuwezesha kuanzisha miradi midogo midogo. Lengo kuu ni kuwasaidia vijana na wanawake kujikwamua na umaskini na kujenga […]
Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026
Katika kipindi cha kidijitali cha sasa, magroup ya WhatsApp Tanzania 2026 yameendelea kuwa njia kuu ya mawasiliano, kubadilishana taarifa, kujifunza, na hata kufanya biashara. Kwa kuwa Watanzania wengi wanatumia WhatsApp kama jukwaa kuu la mawasiliano, tumekusanya kwa kina link bora zaidi za kujiunga na magroup ya WhatsApp kulingana na maslahi mbalimbali mwaka huu wa 2026. […]
NAFASI za Kazi Kutoka Ajira Portal Leo 2026
Nafasi Mpya za Kazi Ajira Portal, Utumishi na Serikalini 2026, Nafasi za Kazi Utumishi, nafasi za kazi Ajira Portal, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo,wiki hii na mwezi huu kutoka serikalini, Utumishi na Ajira portal, Habari kama wewe ni miongoni mwa wanaotafuta kazi kutoka serikalini basi makala hii itaangazia nafasi mpya za kazi zinazotangazwa na serikali […]





