Matokeo ya Al Masry vs Simba SC Leo 2 April 2025
Matokeo ya Al Masry vs Simba SC Leo 2 April 2025 Hatimaye mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la shirikisho Barani Afrika 2024/2025 (CAF Confederation Cup 2024/2025) kwa klabu ya Simba kutoka Tanzania na Al Masry kutoka Misri utafanyika leo tarehe 02 April 2025 nchini Misri kwenye uwanja wa Suez kuanzia majira ya Saa 1:00 za Usiku. Kuelekea mchezo
Continue reading