Timu za Afrika Zilizofuzu Kushiriki FIFA Club World Cup 2025
FIFA Club World Cup 2025 ni toleo la kihistoria kwa sababu ni mara ya kwanza litajumuisha timu 32 kutoka mabara yote, na litafanyika nchini Marekani. Afrika imepewa nafasi nne (4) kwa ajili ya klabu zilizofanya vizuri katika mashindano ya CAF Champions League kati ya mwaka 2021 hadi 2024. Katika makala hii, tutaangazia vilabu vya Afrika vilivyofuzu, mafanikio yao, na matarajio
Continue reading