Post Archive by Month: January,2025

Nafasi 12 za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

Nafasi 12 za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) POST PLANT OPERATOR – 3 POST DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To drive and operate heavy duty farm and other machineries; ii. To assist in instructing students in Light and Heavy Machinery operations; iii. To carry out minor machinery tools repairs and maintenance; iv. To maintain records of machine

Continue reading

Nafasi 7 Za Kazi Shirika La Maendeleo Ya Petroli Tanzania (TPDC)

Nafasi 7 Za Kazi Shirika La Maendeleo Ya Petroli Tanzania (TPDC) On behalf of Tanzania Petroleum Development (TPDC), the Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamic and suitable qualified Tanzanians to fill the seven (7) vacancies mentioned below. Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a national oil company that deals with oil and gas exploration,

Continue reading

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iiic Kiswahili Uliofanyika Tarehe 25/01/2025

Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iiic Kiswahili Uliofanyika Tarehe 25/01/2025 Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 30/01/2025. Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao. Ili kutazama majina yote na matokeo yake tafadhari bonyeza linki hapo chini

Continue reading

Nafasi za Kazi Ajira Portal Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Ajira Portal Tanzania 2025 Habari ya wakati huu awe mtafuta ajira za utumishi kupitia Ajira Portal, karibu katika kurasa hii itakayokupa fursa ya kuweza kupata Ajira Portal News, Portal Ajira, Ajira Portal Jobs in Tanzania, na Ajira Jobs Portal January, 2025 Kuhusu Ajira Portal Tovuti ya Ajira ni jukwaa la kati iliyoundwa na kusimamiwa na Sekretarieti ya

Continue reading

Mabadiliko Ya Tarehe Usaili wa Mahojiano Ajira za Uwalimu Daraja IIIC Kiswahili 2024/2025

Mabadiliko Ya Tarehe Usaili wa Mahijiano Ajira za Uwalimu Daraja IIIC Kiswahili 2024/2025 Katibu, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuujulisha umma kuwa usaili wa Walimu Daraja la IIIC – Kiswahili uliopangwa kufanyika tarehe 28 Januari, 2025 katika vituo mbalimbali nchini, sasa utafanyika tarehe 30 Januari, 2025 kuanzia saa 1.00 Asubuhi. Mabadiliko haya yametokana na

Continue reading

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025

Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025, Orodha ya vilabu vilivyofuzu hatua ya robo fainali CAF Confederation CUP 2025. Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya kimichezo itakayoenda kuangazia juu ya timu ambazo zimefuzu kwenda hatua ya robo fainali katika michuano ya kombe la shirikicho barani Afrika CAF Confederation Cup msimu wa

Continue reading

Majina Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 25 January 2025

Majina Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma 25 January 2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 27-04-2024 na tarehe 18-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye

Continue reading

Jinsi ya Kukopa Salio Airtel

Jinsi ya Kukopa Salio Airtel, Habari ya wakati huu mfuatiliaji wa blog ya Habarika24, katika makala haya tunaenda kukuelekeza jinsi ya kukopa salio katika mtandao wa simu wa Airtel. Kama wewe ni mtumiaji wa laini ya airtel na ungependa kukopa salio na hufahamu ni hatua zipi za kufuata ili uweze kukopa salio pindi unapoishiwa na muda wa maongezi, dakika au

Continue reading

Mshahara wa Rais wa Tanzania

Mshahara wa Rais wa Tanzania, Somo la mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni jambo linalozungumzwa mara kwa mara kutokana na umuhimu wa ofisi katika uongozi wa nchi. Hata hivyo, kuna kutoelewana miongoni mwa viongozi na wenyeji kuhusu kiasi halisi cha mshahara wa Rais. Uwazi wa Mishahara ya Viongozi Ripoti kadhaa zinadai kuwa serikali ya Tanzania imefanya

Continue reading
error: Content is protected !!