Gharama na Usajili wa Vodabima AfyaPass Tanzania 2025
Gharama na Usajili wa Vodabima AfyaPass Tanzania 2025 AfyaPass ni huduma ya bima ya afya ya kidigitali inayotolewa kupitia mtandao wa Vodacom. Huduma hii imeundwa mahususi kukidhi mahitaji ya wananchi wa kawaida, ikiwapa uwezo wa kupata huduma za afya kwa gharama nafuu. Wateja wanaweza kujisajili moja kwa moja kupitia simu zao za mkononi bila kuhitaji kwenda ofisini. Usajili wa Vodabima
Continue reading