Jinsi ya kuangalia Namba ya Simu Mitandao Yote
Jinsi ya kuangalia Namba ya Simu Mitandao Yote, Mwongozo wa kutazama namba ya simu mitandao ya Airtel, Vodacom, TTCL, Tigo & Halotel, Habari karibu tena kwenye makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa code ya kuangalia namba ya simu kwa mitandao ya Airtel, Vodacom, TTCL, Tigo na Halotel. Kama wewe ni mtumiaji wa simu na bado hufahamu namba yako ya
Continue reading