Post Archive by Month: November,2024

Nafai Za Kazi Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Novemba 2024

Nafai Za Kazi Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Novemba 2024 About IAA The National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) is a corporate body established pursuant to NACTVET Act, Cap. 129, to coordinate and regulate the provision of technical and vocational education and training. The Council regulates an efficient national qualifications system that will ensure that products from technical and vocational institutions

Continue reading

Nafai Za Kazi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Novemba 2024

Nafai Za Kazi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Novemba 2024 POST CABIN CREW INSTRUCTOR II(RE-ADVERTISED) DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To assist in conducting cabin crew training; ii. To Assist in conducting tutorial and practical exercises for students under close supervision; iii. To prepare material for practical exercises; iv. To conduct examination and submits results; v. To participate in research

Continue reading

Sifa Za Kujiunga Na Arusha Technical College 2024/2025

Sifa Za Kujiunga Na Arusha Technical College 2024/2025, Habari ya wakati huu mwanahabarika24 karibu katika makal hii fupi ambayo itaenda kukupa mwongozo juu ya mahitaji ya chini ya kujiunga na kozi mbali mbali zitolewazo na chuo cha ufundi cha Arusha ( Arusha Technical College). Ili uweze kuwa miongoni mwa wanafunzi wanosoma katika chuo cha ufundi cha Arusha basi ni lazima

Continue reading

Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI

Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI, Habari mwana Habarika24, tunafuraha kubwa kuona bado upo na sisi na bado unafuatilia Makala zetu, leo katika Makala hii tutaenda kukuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kujiunga na mfumo wa maombi ya ajira TAMISEMI. Kama tujuavyo vijana waliowengi pindi wanapohitimu daraja flani la elimu huwa ni matamanio yao kupata ajira

Continue reading

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kupitia Mitandao Ya Simu

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kupitia Mitandao Ya Simu, Habari ya wakati huu mwanahabarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo juu ya jinsi ya kuweka pesa kwenye kadi ya mwendokasi kupitia mitandao ya simu. Fahamu Kuhusu Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa mujibu

Continue reading

Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025

Jezi Mpya Ya Yanga Sc Msimu Wa 2024/2025, Habari mwanamichezo wa Habarika24, Karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha juu ya jezi mpya za klabu ya Yanga zitakazoenda kutumika katika msimu huu mpya wa 2024/2025. Nafasi ya Yanga Msimu Uliopita Msimu uliopita katika ligi kuu ya NBC klabu ya Yanga alimaalufu kama wana jangwali walimaliza msimu kwa kutwaa ubingwa wa

Continue reading

Jinsi Ya Kufanya Biashara Mtandaoni (Online business)

Jinsi Ya Kufanya Biashara Mtandaoni (Online business), Je umesha wahi kufikilia kufanya biashara mtandaoni lakini hufahamu jinsi ya kuanza biashara yako? basi usijali katika makala hii tutaenda kukupa mwongozo wa kutosha juu ya namna ya kuanzisha biashara mtandaoni na kuiendesha kiufasaha. Katika ulimwengu wa leo, biashara za mtandaoni zimekuwa ni miongoni mwa njia muhimu sana kwa vijana kujiajili na kuweza

Continue reading

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa, Habari mwana habarika24 karibu katika makala hii fupi itakayokupa mwongozo wa kuweza kuongeza pesa/salio kwenye kadi yako ya malipo ya usafiri wa mwendo kasi kwa kutumi mtandao wa Halotel (HaloPesa) Fahamu Kuhusu Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa

Continue reading
error: Content is protected !!