Post Archive by Month: November,2024

Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu 18 November 2024

Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu 18 November 2024, Habari mwanahabarika24, karibu katika posti hii amabayo itaenda kukupa wasaha wa kusoma jichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Tanzania. Hapa utaweza kupitia taarifa mbali mbali kwa ufupi kama vilivyoweza kuandikwa katika magazeti tofauti tofauti ya Leo Jumatatu 18 November 2024. Basi acha tukupeleke moja kwa moja

Continue reading

Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Wangingombe Novemba 2024

Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Wangingombe Novemba 2024 DEREVA DARAJA II NAFASI 5 SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha Nne na Leseni hai Daraja la C au E ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa

Continue reading

Sifa Za Kujiunga Na Chuo cha ardhi Tabora ARITA 2024/2025

Vigezo Na Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Ardhi Tabora ARITA ukitaka kuendelea na elimu yakoya juu katika Chuo Kikuu cha Ardi Tabora ARITA, lazima kwanza uelewe ni mahitaji na sifa gani wanazohitaji. Kama Vyuo Vikuu vingine nchini Tanzania, Chuo Kikuu cha Ardhi kina viwango na mahitaji ya lazima ambayo waombaji wanapaswa kutimiza ili kukubalika. Kuna aina mbili za sifa:

Continue reading

Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024

Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024, Habari mwanamichezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa mwongozo wa mechi kati ya Ethiopia na Tanzania unaofanyika leo jumamosi 16-11-2024 Leo Tanzania inakutana na Ethiopia ugenini ikiwa imecheza michezo minne katika michuano ya kufudhu AFCON ikiwa imeshinda mchezo 1, imedraw mchezo mmoja na kufungwa michezo 2, kwa sasa Tanzania

Continue reading

Jinsi Ya Kukata Tiketi Ya Basi Mtandaoni

Jinsi Ya Kukata Tiketi Ya Basi Mtandaoni, Kukata tiketi ya basi kwa njia ya Simu, Habari ya wakati huu ewe msafiri wa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine kwa usafiri wa basi, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa mongozo wa jinsi ya kukata tiketi ya basi mtandaoni. Je unatarajia kusafiri kutumia usafiri wa basi, basi makala hii itakua na

Continue reading

Nafasi Mpya 77 Za Kazi Taasisi Mbali Mbali za Umma Novemba 2024

Nafasi Mpya Za Kazi Taasisi Mbali mbali za Umma Novemba 2024,je unafikilia kuajiliwa katika sekta ya umma? mwezi huu wa novemba kumetangazwa nafasi mbali mbali kutoka taasisi tofauti tofauti za umme, kusoma na kutuma maombi tafadhari pitia hapo chini. On behalf of the National Bureau of Statistics (NBS), the Institute of Accountancy Arusha and the Ministry of Water and Dar

Continue reading

Nafasi Mpya 28 Za Kazi Kutoka Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi Novemba 2024

Nafasi Mpya 28 Za Kazi Kutoka Ofisi Ya Taifa Ya Ukaguzi Novemba 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenyesifa na uwezo wa kujaza nafasi Ishirini na nane (28) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA HESABU) –

Continue reading

Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Kada Mbali Mbali Mwezi Novemba 2024

Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Kada Mbali Mbali Mwezi Novemba 2024 Hbari, je ulifanya usaili wa vitendo katika kada yoyote ile kwa mwezi huu wa novemba, basi huna budi kuweza kutazama matokeo ya usaili huo hapa. Matokeo Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 13/11/2024 ARTISAN II (HIGHWAY & BRIDGES) CIVIL ARTISAN (GANGMEN) ENGINEER II (FREQUENCY MANAGEMENT) MECHANICAL ARTISANS II

Continue reading

Soma Habari Za Kwenye Magazeti Ya Leo Tanzania November 14,2024

Soma Habari Za Kwenye Magazeti Ya Leo Tanzania November 14,2024, Habari mwanahabarika24, karibu katika posti hii amabayo itaenda kukupa wasaha wa kusoma jichwa vya habari katika magazeti mbali mbali ya Tanzania. Hapa utaweza kupitia taarifa mbali mbali kwa ufupi kama vilivyoweza kuandikwa katika magazeti tofauti tofauti ya leo November 14,2024. Basi acha tukupeleke moja kwa moja kwenye magazeti ya leo

Continue reading
error: Content is protected !!