Post Archive by Month: November,2024

Sifa za Kujiunga na Chuo Cha University of Dar es salaam Computing Center (UCC)

Sifa za Kujiunga na Chuo Cha CC (University of Dar es salaam Computing Centre ), Je umehitimu elimu ya sekondari kidato cha nne au kidato cha sita na unalengo la kusoma kozi ya IT Sifa za Kujiunga na Chuo Cha CC (University of Dar es salaam Computing Centre )  ?,basi usiwe na hofu hapa katika makala hii tunaenda kukupa mwongozo

Continue reading

Nafasi za Kazi ya Walimu Kutoka Christian Private School Lushoto

Nafasi za Kazi ya Walimu Kutoka Christian Private School Lushoto JOB DETAILS A Christian Private School in Lushoto, Tanga, is looking for teachers for: 1. Maths & Physics 2. Biology & Chemistry JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA. Applicant Qualifications Suitable candidates should meet the following: – be a Tanzania citizen – be a degree

Continue reading

Sifa za Kujiunga Archbishop Mihayo University College of Tabora

Sifa za Kujiunga Archbishop Mihayo University College of Tabora, Sifa za Kujiunga Archbishop Mihayo University College of Tabora Entry Requirenments, sifa za kujiunga na amucta. Je, ungependa kusoma katika Chuo Kikuu cha Askofu Mkuu Mihayo cha Tabora na kujiandikisha katika moja ya kozi zao za kifahari? Hivi ndivyo chuo kikuu huamua mahitaji ya kuingia kwa kozi. Sifa za Kujiunga Archbishop

Continue reading

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Ardhi Dar es Salaam

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Cha Ardhi Dar es Salaam, Iwapo wewe ni mhitimu wa kidato cha sita na ungependa kuendelea na masomo katika chuo cha Ardi Dar es Salam, lazima kwanza uelewe mahitaji na sifa za kujiunga. Chuo Kikuu cha Ardhi, kama vyuo vingine nchini Tanzania, kina viwango na mahitaji ya lazima ambayo waombaji wanapaswa kutimiza ili kukubalika. Kuna

Continue reading

Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa CAF 2024/2025

Jezi Mpya Za yanga SC Kimataifa CAF 2024/2025, Klabu ya Yanga ali maarufu kama wana jangwani wamezindua jezi zao mpya amabzo ndio zitakazotumika katika michuano ya kimataifa kwenye ligi ya klabu bingwa Afrika katika msimu huu mpya wa 2024/2025 Ikumbukwe kua klabu ya Yanga ndio klabu pekee iliyobakia katika michuano ya klabu bingwa Afrika kwenye msimu huu wa 2024/2025 katika

Continue reading

Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa ya Musoma Novemba 2024

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma amepokea kibali cha ajira kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa nafasi tatu (3) kama zilivyoainishwa kwa kuzingatia sifa tajwa:- JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA

Continue reading

Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (Mocu) Novemba 2024

Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (Mocu) Novemba 2024, Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 25-11-2024 hadi 26-11-2024 ahatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe

Continue reading

Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Iringa Novemba 2024

Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Iringa Novemba 2024 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb Na. FA. 170/363/01A/116 cha tarehe 25 Septemba, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya

Continue reading
error: Content is protected !!