Vital’O Yapania Kuitoa Yanga Sc Klabu Bingwa Afrika
Vital’O Yapania Kuitoa Yanga Sc Klabu Bingwa Afrika Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa timu ya Vital’O ya Burundi, Arsene Bucuti amesema wamekuja nchini kuitoa Yanga SC katika Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika. Vital’O imepangwa kucheza na Yanga SC katika Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika na mchezo huo utafanyika Jumamosi katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi, nje
Continue reading