
TAREHE ya Simba Day 2025 Yatajwa Rasmi
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imweka wazi tarehe ya kufanyika kwa sherehe za uzinduzi wa msimu mpya wa 2025/2026 kupitia ukurasa wake wa instagram.
Sherehe za klabu ya Simba hufahamika kwa jina la SIMBA DAY. Sherehe hizo zimepangwa rasmi kufanyika tarehe 10.9.2025.
Sherehe hizo humbatana na burudani, utambulisho wa wachezaji na mwisho humaliziwa na mechi ya kirafiki.