Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi

Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi Zimetangazwa Leo Machi 2025

Nafasi za Kazi Jeshi la Polisi Zimetangazwa Leo Machi 2025 Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limetangaza nafasi za kazi kwa vijana wa kitanzania wenye shahada, stashahada, cheti, kidato cha sita na nne wenye sifa mbalimbali. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) wa Tanzania, Camilius Wambura, Machi 20, 2025, vijana wanaotakiwa wanatakiwa kuwa raia

Continue reading
error: Content is protected !!