Kikosi cha Yanga vs Kengold Leo 05/02/2025
Kikosi cha Yanga vs Kengold Leo 05/02/2025 | Kikosi cha Yanga Leo Dhidi ya Kengold Ligi Kuu Katika jioni ya leo, Young Africans SC (Yanga) watashuka dimbani kuvaana na Kengold SC katika dimba la KMC Complex, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mchezo wa raundi ya 17 ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League). Huu ni mchezo muhimu kwa
Continue reading