Cv ya Elvis Rupia Mchezaji wa Singida Black Stars
Cv ya Elvis Rupia Mchezaji wa Singida Black Stars Elvis Baranga Rupia ni mmoja wa washambuliaji mahiri wa kandanda kutoka Kenya ambaye ameendelea kung’ara katika ligi mbalimbali barani Afrika. Kwa sasa, anachezea klabu ya Singida Black Stars, akivalia jezi namba 9. Katika makala hii, tutaangazia kwa kina Cv ya Elvis Rupia, historia yake ya soka, mafanikio yake, na mchango wake
Continue reading