Simba Sc Vs Fc Bravos Do Maquis 27 Nov 2024, Habari ya wakati huu mwanamichezo wa blog pendwa ya Habraika24, Karibu katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kuangazia kwa undani juu ya mechi ya Simba Sc dhidi ya klabu ya Fc Bravos Do Maquis kutokea nchini Angola leo Tarehe 27 Nov 2024.
Huu ni mchezo wa kwanza kwa klabu ya Simba na Fc Bravos Do Maquis kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika 2024/2025 kwenye hatua ya makundi. Simba Sc ikiwa nyumbani kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa inaikaribisha Fc Bravos Do Maquis huku ikiwa na shahuku ya kupata alama 3 muhimu.
Kuelekea mchezo wao wa kwanza klabu ya Simba imetangaza jezi zake mpya itakazozitumia kwenye michezo ya kimataifa ya kombe la shirikisho barani Afrika 2024/2025
Simba Sc Vs Fc Bravos Do Maquis 27 Nov 2024
Simba na Fc Bravos Do Maquis ni miongoni mwa klabu zinazo unda kundi A kwenye michuanao ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu wa 2024/2025. Timu nyingine zinajumuika na Simba Sc na Fc Bravos Do Maquis kwenye kundi A ni Pamoja na;
- CS Costantine
- CS Sfaxien

Kikosi Cha Simba Dhidi ya Fc Bravos Do Maquis
Hapa ni orodha majina ya wachezaji wa klabu ya Simba wanaotarajiwa kucheza katika mechi dhidi ya Fc Bravos Do Maquis tarehe 27 November 2024
- Lameck Lawi
- Abdulrazack Hamza
- Valentino Mashaka
- Omari Omari
- Kelvin Kijili
- Yusuph Kagoma
- Jushua Mutale
- Steven Mukwala
- Jean Charles Ahoa
- Debora Fernandes Mavambo
- Augustine Okajepha
- Valentin Nouma
- Karaboue Chamou
Matokeo ya Simba vs Fc Bravos Do Maquis Leo 27 Nov 2024
Kama unafuatilia matokeo ya mchezo wa hatua ya makundi katika kundi A kombe la shirikisho barani Afrika kati ya Simba Sc Vs Fc Bravos Do Maquis basi hapa chini tutaenda kukuwekea matokeo ya mchzo huo mara baada ya mechi kuisha
Simba SC 1 – 0 Fc Bravos Do Maquis
Simba inakutana na Fc Bravos Do Maquis ikiwa inaendelea kufanya vizuri katika michuano ya ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 huku ikiwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa na uzoefu wa kutosha katika michuano ya ligi mbali mbali barani Afrika.
Mapendekezo ya Mhariri
1. Ratiba Ya Mechi Za Simba Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
2. Ratiba Ya Mechi Za Simba SC Ligi Kuu Ya NBC Premier
3. Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025
4. Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024/2025
5. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa unamaswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku