Simba Sports Club, moja kati ya vilabu vikubwa zaidi na vyenye mafanikio makubwa katika historia ya soka Tanzania na Afrika Mashariki, inaendelea kuonesha ukali wake katika msimu wa 2025. Tunawaletea ratiba kamili ya mechi za Simba SC kwa mwezi Mei 2025, ikiwa ni pamoja na mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), michuano ya Kombe la FA, na mashindano ya Kimataifa.
Mechi za Simba SC Ligi Kuu Tanzania Bara May 2025
Katika mwezi wa May 2025, Simba SC inatarajia kucheza michezo kadhaa muhimu ya ligi kuu ambayo itakuwa na mchango mkubwa katika kuamua hatma yao ya ubingwa wa msimu huu. Ratiba ifuatayo imeandaliwa kwa kuzingatia tarehe rasmi zilizotangazwa na Bodi ya Ligi.
Ratiba ya Mechi za Simba SC Zilizobaki NBC Premier League 2025
Hapa chini ni ratiba kamili ya michezo yote ya klabu ya Simba iliyobakia kwenye ligi kuu ya NBC michezo itayochezwa katika mwezi May 2025 hii ni kutokana na ushiriki wake kwenye michuano ya kombe lka shirikisho Afrika.
May 02, 2025
- 16:00 Simba SC vs Mashujaa FC
May 05, 2025
- 16:00 JKT Tanzania vs Simba SC
May 08, 2025
- 16:00 Simba SC vs Pamba Jiji FC
May 11, 2025
- 16:00 KMC FC vs Simba SC
May 14, 2025
- 16:00 Simba SC vs Singida Black Stars
May 21, 2025
- 16:00 KenGold FC vs Simba SC
May 25, 2025
- 16:00 Simba SC vs Kagera Sugar FC
TBD 2025
- TBA Yanga SC vs Simba SC