Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»RATIBA ya Mechi za Simba Mwezi Januari 2025
Michezo

RATIBA ya Mechi za Simba Mwezi Januari 2025

Kisiwa24By Kisiwa24January 5, 2025No Comments4 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

RATIBA ya Mechi za Simba Mwezi Januari 2025, Habari ya wakati huu mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi ambayo tutaenda kukupa mwongozo wa ratiba kamili ya michecho ya klabu ya Simba mwezi huu wa January 2025.

Kama wewe ni shabiki wa klabu ya Simba basi naamini takua unashahuku ya kutaka kujua mwezi huu wa January 2025 klabu yako itakua na ratiba gani ya mechi na sisi ikiwa kazi yetu ni kukusogezea habari zote muhimu za kimichezo karibu nawe katika kurasa hii utaenda kuona ratiba yote ya Simba kwa mweza January 2025.

Baada ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025, Sasa mwezi huu wa January klabu ya Simba inatarajia kumaliza pia michezo yake yote iliyobaki katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika (CAF Confederation Cup)

RATIBA ya Mechi za Simba Mwezi Januari 2025

Hapa chini tutaenda kuangalia ratiba ya Simba SC kwa mwezi January 2025 kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Simba SC iliyoko kwenye kundi A la michuano hii ya Kombe la shirikisho barani Afrika hadi sasa tayari imesha cheza michezo 3 na ndani ya wezi huu wa January itamializia michezo 3 mingine iliyobakia.

RATIBA ya Mechi za Simba Mwezi Januari 2025

Katika ratiba hii Simba itasafiri kuj=cheza michezo 2 nje ya Tanzania (AWAY) na mchezo mmoja itaucheza ikiwa nyumbani kwenye dimba la Benjamini Mkapa (HOME)

1. Simba vs CS Sfaxien

Mchezo huu utafanyika siku ya tarehe 05 January 2025 nchini Sudani majira ya 7:00 Pm kwenye uwanja wa Stade Olympique Hammadi Agrebi, ikiwa ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo ulifanyika siku ya taerehe 15 December na Simba iliibuka na ushindi wa magoli 2 kwa 1 goli la ushindi ilikifingwa dk ya 8 muda wa nyongeza na Kibu Denis katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam

2. Bravos Do Maquis Vs Simba SC

Mchezo huu Simba pia ataucheza akiwa ugenini tarehe 12 January 2025 ikiwa pia ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo uliofanyika jijini Dar es Salaam siku ya tarehe 27 November na Simba kuibuka na ushindi wa goli moja kwa sifiri.

3. Simba SC vs CS Constantine

Mchezo huu utapigwa kunako siku ya tarehe 19 January 2025, Simba akiwa katika uwanja wa nyumbani, pia huu ni mchezo wa marudiano baada ya ule uliofanyika kwenye roundi ya pili tarehe 8 December 2024 na Simba kukubaili kichapo cha bao 2 kwa moja.

RATIBA ya Mechi za Simba Mwezi Januari 2025

Msimamo wa Kundi A kundi la Simba CAF Confederation Cup 2024/2025

Hadi sasa jumla ya michezo 3 imesha chezwa kwenye kombe la shirikisho barani Afrika na timu tatu zimekua na matokeo sawa katika michezo hiyo 3, zikiwa zimeshinda michezo 2 na kupoteza mchezo mmoja kwa kila timu

Klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba SC iko katika nafasi ya 3 kiwa na pointi 6 tofauti ya magoli na mshindi katika nafasi ya 2.

Group A

Rank Club MP W D L GF GA GD Pts
1 Bravos do Maquis 3 2 0 1 6 5 1 6
2 CS Constantine 3 2 0 1 5 4 1 6
3 Simba 3 2 0 1 4 3 1 6
4 CS Sfaxien 3 0 0 3 3 6 -3 0

Tathimini ya Simba SC kwenye Mechi zilizobakia

Hadi sasa ni michezo 3 iliyobakia kutoka nafasi ya 1 hadi ya 3 wote wamfungana pointi. Hivyo basi bado matumaini ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali kwa klabu ya Simba ni makubwa sana.

Mchezo dhidi ya CS Sfaxien, Simba anahitaji kushinda au kutoa sare huku akisubili matokeo ya Bravos do Maquis vs CS Constantine , kama moja kati ya hao atashinda na Simba atashinda mezo wake  basi atapanada hadi nafasi ya 2, na kama kama matokeo ya mcheo wa wapinzania wake utaishia sare na simba kushinda mchezo wake basi atapanda hadi nafasi ya 1.

Kisha michezo 2 itakayo bakia itampasa ashinde yote au ashinde mchezo mmoja na kutoa sare mchezo mmoja hapo atakua amejihakikishia nafasi ya kucheza robo fainari ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.

Matumaini ya Mashsbiki wa Simba kwenye CAF Confederation Cup

Mashabiki wa Simba wanamatumaini makubwa kwa klabu yao kutokana na ubora wa wacheza waliouonyesha katika mechi zilizopita pia hata kuwenye michuano ya ligi kuu ya NBC. Ni matumaini ya mashabi wengi kua klabu itavuta hatua ya makundi na kuingia robo fainali hata nusu fainali na hatimae fainali.

Mapendekezo ya Mhariri

1. RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025

2. Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025

3. Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025

4. Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025

5. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleKikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025
Next Article Nafasi Mpya za Kazi Ajira Portal, Utumishi na Serikalini 2025
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025783 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025531 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025445 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.