Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Kampuza za Mabasi na Nauli zake»Nauli ya Basi Dar to Morogoro
Kampuza za Mabasi na Nauli zake

Nauli ya Basi Dar to Morogoro

Kisiwa24By Kisiwa24May 9, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Habari ya wakati mwingine tena karibu katika makala mpya itakayoenda kukuelekeza nauri za mabasi ya dar to Morogoro au Morogoro to Dar. Usafiri wa kutumia mabasi kutoka Dar kwenda Morogoro ndio usafri pendwa zaidi na watumiaji wa usafiri kati ya mikoa hii miwili licha ya uwepo waa treni ya umeme ya SRG ambayo pia inafanya safari zake kutoka Dar kwenda Morogoro.

Nauli Za Mabasi Ya Dar To Morogoro
Nauli Za Mabasi Ya Dar To Morogoro

Nauli Za Mabasi Ya Dar To Morogoro

Mabasi Ya Dar Kwenda Morogoro

Kuna makampuni mengi ya mabasi yanayofanya safari zake kutoka Dar kwenda Morogoro na huduma hii hutolewa kila siku kutoka stendi ya mabasi ya Dar es salaam stendi ya Magufuri iliyoko Mbezi na ile ya msamvu iliyoko Morogoro.

Miongoni mwa kampuni hizo za mabasi ni pamoja na;

  1. Abood Bus Servics
  2. New Force
  3. Hood
  4. Happy NATION
  5. BM Coach
Nauli ya Basi Dar Es Salaam kwenda Morogoro
Abood Bus Servics

Nauli ya Basi Dar Es Salaam kwenda Morogoro

Kama tulivyosema hapo awali makala hii inahusu moja kwa moja Nauli ya Basi Dar Es Salaam kwenda Morogoro na Morogoro kwenda Dar es salaam. Na hapa chini tunaenda kuangazia nauli hizo.

Kabla hatujataja nauli za mabasi hayo ikumbukwe kua mabasi haya yanatoa nauli zake kulingana na ubora wa mabasi na huduma zitolewazo na mabasi hayo.Kuna mabasi ya kawaiada na yale ya luxury utofauti wa ubora na huduma pia hupelekea utofauti wa nauli zake.

Nauli za Mabasi ya Luxury Dat to Morogoro

Nauli za mabasi ya luxury kutoka dar kwenda morogoro ni kubwa kidgo, hii ni kutokana na huduna zitolewazo nada ya mabasi hayo na ubora wa mabasi hayo. Nauli yake inacheza kati ya Tsh 14,000 hadi Tsh 25,000. kulingana na ubora na kampuni ya basi husika ( hapa tun mabasi ya luxury na semi luxury).

Nauli ya Mabasi ya Kawaida (ordinary level)

Nauli za mabasi haya ni za kawaida maana hazina huduma kubwa kama zile zinazo patikana katika mabasi ya daraja la juu na kati. Nauli za mabasi haya ni kati ya Tsh 8,000 hadi 12,000.

Ratiba ya Safari ya Mabasi ya Dar Morogoro

Usafiri wa Dar to Morogoro unapatikana wakati wowote ule katika stendi za Magufuri jijini Dar es salaam na stendi ya Msamvu Mjini Morogoro kuanzia saa 11;00 alfajiri hadi saa 10;00 ya usiku.

Safari ya mabasi haya huchukua taktibani masaa 3 hadi 4 kutoka dar kwenda morogoro au morogoro kwenda Dar es salaam kutegemeana na hali ya barabara na hali ya hewa.

Huduma Zitolewazo na Mabasi ya Dar to Morogoro

Mabasi haya yalioyomengi ya luxury/daraja la juu hutoa huduma mbali mbali kwa wateja wake ili kumfanya abiria afurahiye safati na kutohisi uchovu wa safari. Baadhi ya huduma zitolewazo na mabasi ya Dar to Morogoro au Morogoro to Dat es salaam ni pamoja na;

  1. Huduma ya Runinga
  2. Huduma ya Intaneti (Wifi)
  3. Hudum ya vyakula na vinywaji
  4. Huduma ya kuchaji simu

Machaguo ya Mhariri;

1. Kampuni Za Mabasi Ya Dar To Morogoro | Mabasi ya Morogoro

2. Mshahara wa Rais wa Tanzania

3. Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake

4. Mshahara wa jaji Tanzania

5. Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNauli ya Boti Dar es Salaam Kwenda Zanzibar
Next Article NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Kagera
Kisiwa24

Related Posts

Kampuza za Mabasi na Nauli zake

Kampuni Bora za Mabasi Kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora

September 17, 2025
Kampuza za Mabasi na Nauli zake

Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha

August 5, 2025
Kampuza za Mabasi na Nauli zake

Mabasi Ya Dar es Salaam Kwenda Songea

May 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025443 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025442 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.