Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Kampuza za Mabasi na Nauli zake»Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma
Kampuza za Mabasi na Nauli zake

Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma

Kisiwa24By Kisiwa24August 29, 2024No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU

Habari mwana Habrika24, niwakati mwingine tena tumekutana na katika makala hii tutaenda kuelezea juu ya nauli ya Basi Dar kwenda Dodoma na nauli ya basi Kutoka Dodoma kwenda Dar es salaam. Kama hufahamu ni makampuni gani za mabasi zizazotoa huduma ya usafirishaji abairia na mizigo kutoka Dar kwenda Dodoma na Dodoma kwenda Dar basi BONYEZA HAPA kusoma.

Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma
Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma

Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma

Mambo ya Kuzingatia Kusuhu Nauli Ya Basi Dar kwenda Dodoma

Inapokuja swala la kujadili nauli zitozwazo na makampuni ya usafirishaji ya mabasi kwa wasafiri wa Dar kwenda Dodoma na Dodoma kwenda Dar kunazitu vya msingi vya kuvizingatia ambavyo ndio kwa kiasi kikubwa hutoa tasmini ya msingi ya nauli hizo.

1. Daraja la Basi Husika;

Ubora wa daraja la bais pia hutoa tofauti ya nauli miongoni mwa mabasi yanayofanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma, Kuna madaraja matatu ya mabasi, Daraja la juu (VIP), Daraja la kati (Luxury) na Darja la chini (ORDINARY), Utofauti wa kimadaraja pia hutoa utofauti wa bei ya nauli miongoni mwa mabasi husika.

2. Huduma zitilewazo Ndani Ya Basi

Ubora wa huduma zitolewazo ndani ya mabasi pia huchangia ongezeko au upufu wa nauli kutoka basi moja kwenda basi jingine mfano, basi linalotoa huduma ya chakula, vinywaji na hata njia za kuchaji simu haliwezi fanana na basi lisilotoa huduma kama hizo.

Nauli ya Basi  Dar Kwenda Dodoma

Hapa chini tutaenda kuangazia nauli halali za mabasi yanayotoa huduma zake kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma na Dodoma kwenda Dar es Salaam

1. Mabasi ya Daraja la juu na kati (Luxury buses)

  • Nauli ya basi la daraja la juu na kati (Luxury) ni Tsh. 29,000

2. Mabasi ya Daraja la Kawaida (Ordinary Level)

  • Mabasi haya nauli zake huwa ni Tsh. 21,000

Huduma Zinazopatikana Ndani Ya Mabasi

Mbasi haya hutoa huduma tofauti tofauti kwa bairia wake kulingana na daraja la basi husika. Mfano mabasi ya daraja la juu(Luxuly)  hutoa huduma kama vile,

  1. Huduma ya Internet kwa njia ya Wifi
  2. Huduma ya chakula
  3. Huduma ya Vinywaji
  4. Huduma ya kuchaji simu
  5. Na kunahata mabasi yanahuduma ya Choo ndani

Nauli ya Basi Dar Kwenda Dodoma

Hivyo basi tunaweza hitimisha kwa kusem kua nauli za mabasi ya kutoka Dar kwenda Dodoma huwekwa au hupangwa kutokana na ubora wa basi husika na huduma zitolewazo na basi hilo.Kwahiyo nauli tulizoziweka hapo si kila wakati zitakua hivyo zinaweza kupungua au kuongezeka kutokana na sababu mbali mbali na kampuni husika ya basi.

Machaguo ya Mhariri;

1. Mabasi ya Dar Kwenda Dodoma Kila siku

2. Nauli Za Mabasi Ya Dar To Morogoro

3. Kampuni Za Mabasi Ya Dar To Morogoro

4. Mshahara wa Rais wa Tanzania

5. Mshahara wa Mbunge Wa Tanzania Na Marupurupu Yake

6. Mshahara wa jaji Tanzania

7. Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania

8. Viwango Vya Mishahara ya Viongozi wa Serikali

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleMabasi ya Dar Kwenda Dodoma Kila siku
Next Article Mabasi Dar Kwenda Mbeya
Kisiwa24

Related Posts

Kampuza za Mabasi na Nauli zake

Kampuni Bora za Mabasi Kutoka Dar es Salaam Kwenda Tabora

September 17, 2025
Kampuza za Mabasi na Nauli zake

Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Arusha

August 5, 2025
Kampuza za Mabasi na Nauli zake

Nauli ya Basi Dar to Morogoro

May 9, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025443 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025442 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.