Close Menu
  • Home

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

December 3, 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025

1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi

October 15, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Nafasi Za Kazi Tanzania 2025»NAFASI za Kazi Kisarawe District Council
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

NAFASI za Kazi Kisarawe District Council

Kisiwa24By Kisiwa24June 12, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025.

NAFASI za Kazi Kisarawe District Council

NAFASI za Kazi Kisarawe District Council

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI

i. Waombaji wote wawe Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45 isipokuwa wale walioko kazini Serikalini;

ii. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye Mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma;

iii. Waombaji kazi wa kada ya Dereva II wenye leseni Daraja E au C wanapaswa KUAMBATISHA vyeti vya mafunzo ya Udereva vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika.

iv. Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detail Curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.

v. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.

vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu naTaaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Postgraduate/ Degree/ Advanced Diploma/ Diploma/ Certificates, – Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI,- Computer Certificate,- Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificate from Respective Boards).

vii. “Testmonial“, ‘‘Provisional Results“, “Statement of results“, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.

viii. Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).

ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi;

x. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.

xi. Mwisho wakutuma maombi ya kazini tarehe 25 Juni, 2025.

  • BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNAFASI 69 za Kazi Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
Next Article NAFASI za Kazi Kilombero Sugar Company Limited
Kisiwa24

Related Posts

Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

December 3, 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Majina ya Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025 – Jimbo la Moshi Vijijini

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
  • 1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi
  • Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker
  • Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

Recent Comments

  1. E Qambayoya on Orodha ya Maswali ya Usaili Nafasi ya Usimamizi Uchaguzi Mkuu 2025
  2. Kasubi on Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025
  3. Kisiwa24 on NAFASI 320 za Kazi Kutoka Akiba Commercial Bank PLC
  4. MTIE MOHAMED on NAFASI 320 za Kazi Kutoka Akiba Commercial Bank PLC
  5. Princepius on Namba za Mabinti Wanaotafuta Wachumba 2025
Demo
Top Posts

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 202576 Views

Maswali ya Interview Ajira za Zimamoto 2025

March 31, 202520 Views

Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi Hotelini

July 2, 202515 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Powered by
...
►
Necessary cookies enable essential site features like secure log-ins and consent preference adjustments. They do not store personal data.
None
►
Functional cookies support features like content sharing on social media, collecting feedback, and enabling third-party tools.
None
►
Analytical cookies track visitor interactions, providing insights on metrics like visitor count, bounce rate, and traffic sources.
None
►
Advertisement cookies deliver personalized ads based on your previous visits and analyze the effectiveness of ad campaigns.
None
►
Unclassified cookies are cookies that we are in the process of classifying, together with the providers of individual cookies.
None
Powered by