TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya llemela June 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 5, 2025 0 Comments

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya llemela amepokea kibali cha Ajira Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia barua yenye Kumb.Na.FA. 97/228/01/A/25 ya tarehe 29 April, 2025. Hivyo anakaribisha maombi ya Kazi kwa Watanzania wote wenye Sifa za kujaza nafasi ifuatayo:-

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya llemela June 2025

DEREVA DARAJA LA II – NAFASI SITA (06)

MAJUKUMU

I. Kukagua gari kabla na baada ya safari iii kubaini hali ya usalama wa gari.
II. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi.
Ill. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari.
IV. Kufanya na kusambaza nyaraka mbalimbali pale inapohitajika
V. Kujaza na kutunza taarifa i:a safari zote katika daftari la safari
VI. Kufanya usafi wa gari na
VII. Kazi nyingine atazopangiwa na Mwajiri.

SIFA ZA KUAJIRIWA

Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka
mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali

NGAZI YA MSHAHARA

Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS 8.

waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka 18 na usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini; waombaji wenye utemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye Mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi waUmma Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detall curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.

Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia Sifa zakuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi ya
kazi kwa waajiri wao na waajiri wao wajiridhishe ipasavyo’ Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza ( Detail C.V ) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika; Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na lr/lwanasheriaA/vakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia
sifa za kazi husika.

“Testmonial”, “PrOViSiOnal ReSUltS”, “statement Of reSultS”, hati ya matOkeO ya Kidato cha Nne na Kidato cha sita (FoRM IV AND FORM Vl RESULTS SLIPS)

HAVITAKUBALIWA

Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na tVlamlaka husika (Tcu, NECTA na NACTE). waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu N/kuu Kiongozi.

MASHARTI YA JUMLA

x. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika
Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.

xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za
kisheria.

x11. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 17 June, 2025

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *