Matokeo ya Taifa Stars Vs Ethiopia Leo Septemba 4 2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Habari ya wakati huu mfuatiliaji wa Habarika24 katika posti hii tutaenda kukuwekea matokeo ya mchezo wa Taifa Stars vs Ethiopia leo septemba 4 2024 kuelekea kufuzu michuano ya AFCON mwaka 2025.

Kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Etjhiopia leo Septemba 4 2024
Haya hapa ni majina ya wachezaji walioitwa kwenye kikosi cha Taifa kuelekea kufuzu michuano ya AFCON 2025
Magolikipa:
- Ally Salim – Simba SC
- Abdultwalib Mshery – Young Africans
- Yona Amos – Pamba SC
Mabeki:
- Lusajo Mwaikenda kutoka Azam FC
- Nathaniel Chilambo kutoka Azam FC
- Mohamed Hussein kutoka Simba SC
- Dickson Job kutoka Young Africans
- Pascal Msindo kutoka Azam FC
- Ibrahim Hamad kutoka Young Africans
- Bakari Nondo kutoka Young Africans
- Nickson Kibabage kutoka Young Africans
Nafasi ya Viungo:
- Abdulmalik Zakaria kutoka Mashujaa FC
- Adolf Mtasigwa kutoka Azam FC
- Himid Mao kutoka Tala’a El Geish, Misri
- Novatus Dismas kutoka Goztepe, Uturuki
- Mudathir Yahya kutoka Young Africans
- Hussein Semfuko kutoka Coastal Union
- Edwin Balua kutoka Simba SC
- Feisal Salim kutokja Azam FC
Washambuliaji:
- Wazir Junior Kutoka Dodoma Jiji
- Cyprian Kachwele kutoka Vancouver Whitecaps, Canada
- Clement Mzize kutoka Young Africans
- Abel Josiah kutoka TDS TFF Academy
Kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Etjhiopia leo Septemba 4 2024
Matokeo ya Taifa Stars Vs Ethiopia Leo Septemba 4 2024
Tanzania | VS | Ethiopia |
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku