Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Ligi Ya Nbc Premier League Ijumaa 23/08/2024, Katibu katika ukurasa huu, hapa tuaenda kukuonyesha matokeo ya michezo ya leo ijumaa ya 23/08/2024 katika ligi kuu ya NBC Premier msimu wa 2024/2025.
Leo siku ya ijumaa kutakua ma mchezo mmoja katika ligi kuu ya NBC Premier ambao utafanyika katika mkoa wa Kigoma majira ya saa kumi za jioni katika uwanja wa Lake Tanganyika
Mchezo huu unazikutanisha timu mbili Mashujaa na Tanzania Prisons katika round ya pili ya mzunguko wa ligi kuu ya NBC Premier msimu huu wa 2024/2024.

Mashujaa inaikabili Tanzania prisons huku ikiwa na matokeo ya pointi Tatu baada ya kuichapa timu ya Dodoma Jiji katika mchezo wa round ya kwanza na kuwafanya wawe katika nafasi ya 3 katika msimamo wa ligi kuu ya NBC Premier msimu huu wa 2024
Tanzania Prisons wao wana wavaa Mashujaa wakiwa ugenini katika mchezo huu wa round ya Pili huku wakiwa na matokeo ya kulazimishwa sare ya bila kufungana katika mchezo wao wa kwanza dhidi ya Pamba Jiji huko mkoani Mwanza na kuifanya Tanzania Prisons kua katika nafasi ya 5 katika msimamo wa ligi kuu ya NBC Premier MSIMU WA 2024/2025.
Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Leo 23/04/2024 Ligi Kuu Ya NBC Premier Tanzania Bara 2024/2025
Kama wewe ni shabiki wa soka na unatamani kutazama matokeo haya basi endelea kutembelea ukrasa wetu maana tutakua tunaweka kila taaarifa juu ya mchezo huu na matokeo yake;
Matokeo Ya Mashujaa Vs Tanzania Presons Leo 23/04/2024
Mashujaa 0 – 0 Tanzania
Matokeo Ya Mechi Za Ligi Ya Nbc Premier League katika roundi ya kwanza
SIMBA SC 3 – 0 TABORA UNITED
KENGOLD FC 1 – 3 SINGIDA BS
MASHUJAA FC 1 – 0 DODOMA JIJI
PAMBA JIJI 0 – 0 TANZANIA PRISONS