Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025
Michezo

Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025

Kisiwa24By Kisiwa24January 4, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025, Habari mwanamichezo wa Kisiwa24, karibu katika makala hii fupi ambayo itaenda kukupa matokeo ya mechi ya hatua ya makundi kati ya CS Sfaxien vs Simba inayochezwa leo 04/1/2025 nchini Sudani ikiwa ni mchezo wa roundi ya 4 katika hatua hii ya makundi

Mchezo huu kati ya CS Sfaxien vs Simba ni mchezo wa marudiano baada ya mchezo uliozikutanisha timu hiz mbili jijini Dar es Salaam tarehe 15 December katika uwanja wa Benjamini Mkapa na Simba SC iliondoka na ushindi wa mabao 2 kwa moja.

Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05/01/2025

Matokeo ya CS Sfaxien vs Simba Leo 05/01/2025

Hapa chini utaenda kupata matokeo ya mchezo huu wa CAF Confederation Cup kwa vipindi vyote viwili, Pia katika kurasa hii utaenda kusoma matukio ya muhimu yaliyoweza kutokea wakati wa mchezo.

Kipindi cha Kwanza

Matokeo ya Kipindi cha Kwanza

CS Sfaxien – 0

0 – Simba SC

 

Kipindi cha Pili

Matokeo ya Kipindi cha Kwanza

CS Sfaxien – 0

0 – Simba SC

Mchezo huu ni muhimu sana kwa klabu ya Simba kuweza kupata ushidi ili aweze kupanda nafasi yake na kujhakikishia nafasi ya kuweza kufuvu kuingia hatua ya robo fainali katika michuano hii ya CAF Confederation Cup. Kwa sasa klabu ya Simba iko katika nafasi ya 3 ikiwa na pointi 6, huku aliyekua katika nafasi ya 1 na 2  pia wanapointi 6, simba akishinda mchezo huu anaweza kupanda hadi nafasi ya 1 au nafasi ya 2 kulingana na matokeo ya mcheo kati ya aliyekua katika nafasi ya 1 na 2.

Hivyo basi kama wewe ni shabiki wa Simba usiache kutembelea kurasa hii mara kwa mara kwani matokeo ya mechi ya CS Sfaxien vs Simba SC pamoja na matukio yote ya muhimu tutakua tukiyaweka hapa kila wakati pindi mchezo utakapokua ukiendelea.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025  Saa Ngapi?

2. Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025

3. RATIBA ya Mechi za Yanga Mwezi Januari 2025

4. Ratiba ya Mechi Za Leo Ligi Mbalimbali

5. Matokeo Ya Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025

6. Kikosi cha simba kilicho safiri kuelekea TUNISIA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous Article CS Sfaxien vs Simba SC Leo 05 January 2025  Saa Ngapi?
Next Article Kikosi cha Simba vs CS Sfaxien Leo 05/01/2025
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025783 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025538 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025445 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.