Leo Jumapili ya tarehe 11 Mei 2025 wekundu wa msimbazi Simba Sc itakua ugenini ikichuana na klabu ya KMC katika uwanja wa KMC Complex Jijini Dar es Salaam
Simba inaenda kuivaa KMC ikiwa na mwenedelezo mzuri wa matokeo katika michezo mitatu iliyopita ya vipolo huku mchezo wa mwisho ikiibuka na ushindi wa magoli 5 kwa 1 dhidi ya Pmba jiji.
Soma Pia>> KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
Hapa kisiwa24 Blog tunakuletea updates za mchezo huu kuanzia dakika ya 1 hadi dk 90, Live KMC vs Simba Sc 11 Mai 2025, Simba vs KMC live updates leo 11 May 2025.
Fuatilia mchezo huu wa ligi kuu ya NBC mchezo wa 27 katika mzunguko wa pili wa ligi hiyo ya NBC. usiache kutembelea ukrasa huu mara kwa mara ili kupata taarifa za mtanange huu wakati unaendelea ikiwa ni pamoja na matokeo ya Simba vs KMC leo 11 May 2025.
MATOKEO KMC vs Simba Sc leo 11 May 2025
Tazama hapa LIVE matokeo ya mchezo wa Simba vs KMC leo May 11, 2025.
Live Kipindi cha Kwanza
Dk 0′ Mpira unaanza
1′ KMC 0 -0 Simba Sc
2′ KMC 0 -0 Simba Sc
Live Kipindi cha Pili (Second Half)